la_stain wawire - yamaha lyrics
waki pull up kalesa, me a pull up na yamaha
kama kuna pesa me na pull up na mamaa
walinikosea sana hawa ma jamaa so
kabla uniombe ganjii kwanza niombe msamaha
ini money many more, me nasaka money and many more
mr. nice kidalipo, wengi wameniiga flow
mara haba shikamoo, mara haga shika mo
miti yangu sycamore, ka ni mjakaa sika mo
oya nani i see through the future niite nabii
ka we si butcher basi beef ya nini?
naunda money, chini ya maji niite marine
we brownskin burrr+i’m colorblind dear
siezi kuita honey naa me napenda dufia
me si mwana jeshi bana siezi kukufia
na ogopa mungu tu we siezi kukufear
unataka kunipa roho na me nataka haga though
kabla unipende kwanza penda yesu boo
kama unataka nikupost then am not availablе
ume order vevе me nlitaka vela tu
ting ling a ling , school bell a ring
babe usitense me ni homie ana means
uki order pizza me na order chapo beans
true to my roots me sinaga mambo mingi
waki pull up kalesa, me a pull up na yamaha
kama kuna pesa me na pull up na mamaa
walinikosea sana hawa ma jamaa so
kabla uniombe ganjii kwanza niombe msamaha
ini money many more, me nasaka money and many more
mr. nice kidalipo, wengi wameniiga flow
mara haba shikamoo, mara haga shika mo
miti yangu sycamore, ka ni mjakaa sika mo
haga na haga hubamba wa baba
haga ime hang kushinda manamba
but but boy ako focused siwezi jilamba
ishindwe kamote labda wanivute na kamba
h+llo monika, i gatt money and cars
babe be my bank nianze weka weka
me homie ana class i don fyeka fyeka
nama ebhungoma ne mayi emateka
me napenda madem wa takooooo+retti corner
bae wa sahi akiniwacha i sweeeear, siwezi pona
zamani morning preps kutafta early worm
sahi ni morning glory, kutafta early warmth
nliskia mama bae haapendi rasta men
but bae anapenda nyasi utadhani beenie man
waki pull up kalesa, me a pull up na yamaha
kama kuna pesa me na pull up na mamaa
walinikosea sana hawa ma jamaa so
kabla uniombe ganjii kwanza niombe msamaha
ini money many more, me nasaka money and many more
mr. nice kidalipo, wengi wameniiga flow
mara haba shikamoo, mara haga shika mo
miti yangu sycamore, ka ni mjakaa sika mo
Random Lyrics
- ana alcaide - durme durme lyrics
- starr47 - tap in lyrics
- topazz - home alone lyrics
- smada - superstar lyrics
- frn [arg] - frozen lyrics
- abyss, watching me - gone girl lyrics
- annie lee rose - slumber party! lyrics
- asimane - dələ lyrics
- コレサワ (koresawa) - にゃんにゃんにゃん (meow meow meow) lyrics
- lalion - who you were lyrics