lady jay dee - daladala lyrics
[verse 1]
muda umepita, umenifanya nikae chini
nitafakari
k+mbe ni mbali tumetoka
mmm
muda umepita, umenifanya nikae chini
nitafakari
[verse 2]
shida zangu naeka chini
kwako najiamini
kwa penzi lako ‘mi mateka
nipe ma vitu, nikupe ma vitu (aha)
ai enjoy kila mtu (aha)
hii ndio thamani ya penzi
[chorus]
penzi ni daladala
(daladala)
daladala
(daladala)
ukichoka we unashuka
wengine wanapanda
penzi ni daladala
(daladala)
daladala
(daladala)
ukichoka we unashuka
wengine wanapanda
[post+chorus]
tu+ru+ru
ya nini nijipe ma stress bure (bure)
life is tough, wewe pia tough (tough)
si nitaumia mwenzio
let me live my life
(let me live my life)
and you live your life
(and you live your life)
ukitaka tu+enjoy
ukichoka ’we sepa
cause i don’t care
(instrumentals)
(ooh, yeah)
[bridge]
subiri siku moja
subiri siku saba
subiri siku nane
(ooh, yeah)
[chorus]
penzi ni daladala
(daladala)
daladala
(daladala)
ukichoka we unashuka
wengine wanapanda
penzi ni daladala
(daladala)
daladala
(daladala)
ukichoka we unashuka
wengine wanapanda
[post+chorus]
tu+ru+ru
ya nini nijipe ma stress bure (bure)
life is tough, wewe pia tough (tough)
si nitaumia mwenzio
let me live my life
(let me live my life)
and you live your life
(and you live your life)
ukitaka tu+enjoy
ukichoka ‘we sepa
cause i don’t care
(instrumentals)
[outro]
daladala
mi mwenyewe nasubiri kila siku
daladala
(instrumentals)
(ooh, yeah)
…
(ooh, yeah)
Random Lyrics
- jordan astra - ice cold lyrics
- qfb - sabadete lyrics
- 021g - asabi hashari lyrics
- pippi langkous - de eerste sneeuw (oj, vad jag tycker om) lyrics
- ryan hall - glad to be here :) lyrics
- limbo3600 - wtf! (2024)* lyrics
- cayo banks - pay me lyrics
- mediocrit - greenare lyrics
- big baby tape, aarne & icegergert - da law lyrics
- mc artisan - mamacita lyrics