lady jay dee - na iwe lyrics
[intro]
[?]
[verse 1: lady jaydee]
utokapo na uingiapo
na uendapo, ah ooh
baraka n+z+kufate
kila uendapo
uketipo, usimamapo na ulalapo
ah, ooh
[pre+chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 2: lady jaydee]
mibaraka tunapokea
tunashukuru sana
kutuinua na kutupenda
unatupenda sana
mw+ngaza na kupwa
nuru twaiona njiani
tusimame, tukusifu
[pre+chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 3: maunda zorro]
umeonyesha upendo wako
juu yetu
ukafanya neno liwe njia
kati yetu
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
[pre+chorus: maunda zorro]
na iwe
na iwе
na iwe
na iwe
[chorus: maunda zorro & lady jaydee]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwе
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
Random Lyrics
- revie jamton - eternal damnation lyrics
- n!co - worse than me lyrics
- dyce payso & fatman scoop - let it go lyrics
- phoneboy - i look alive lyrics
- st. vincent - dig me out lyrics
- hugo wolf - wo find ich trost? lyrics
- brett detar - a soldier's burden lyrics
- quinton griggs - astronaut lyrics
- belinda davids - mister lyrics
- redd - yavaş yavaş yavaş lyrics