lady jay dee - side chick lyrics
hukuwa hivyo
hukuwa hivyo
wewe umebadilika
hukuwa hivyo
hukuwa hivyo
wewe umebadilika
ulikuja hapa msafi, mrembo
shingo twageuza
sifa zako zilienea mkoa mzima
harufu wanukia, ‘kila kukicha
mikogo yavutia, ‘kila ukipita, ah
hujipendi kama zamani
kisingizio watoto
kazi nazo hutaki fanya
kisingizio watoto
alivyo kupenda jana
ukabweteka, ukanenepa
alivyo kukuta jana
si wa leo, ‘umebadilika
(instrumentals)
usiwe hivyo, usiwe hivyo
usimnyodoe mwenzio
usiwe hivyo, usiwe hivyo
usimnyodoe mwenzio
usijione umefika
nawe waeza kupita
haya mambo hayana mwenyewe
side chick k+mbuka
uuu+uu+uh…
unaweza kupita
aaah+aah+ah…
hata we ‘yatakwisha
anavyo kupenda leo
hata mwenzio alipendwa jana
huduma zako leo
huyo mwenzako alipewa jana
(instrumentals)
huna muda wakujiweka sawa
hujipendi
huna muda wakujiweka sawa
hujiwezi
…
yote yanasemwa
nawakilisha
watu sio wema
wana uhakika
uishi kwa umakini
ukijua lolote
laweza tokea kwako au yeyote
Random Lyrics
- xcusemee - whatyousayin'? lyrics
- حاتم فهمي - aktar man waaatak - أكتر من وقتك - hatem fahmy lyrics
- djo - end of beginning (neil frances remix) lyrics
- suzzy (srb) - osveta lyrics
- julieta venegas - caminar sola - en vivo lyrics
- shattered sun - shades of melodie lyrics
- aaron & amanda crabb - the love of jesus lyrics
- yemi alade - carry me lyrics
- six bomb (식스밤) - 10년만 기다려 베이베 (wait 10 years baby) lyrics
- camino yelka - virgil abloh lyrics