
lady jay dee - siwema lyrics
siiweema usinipe mateso ya moyo
na sasa nimechoka kweli nasemaa
siwema usinipe mateso ya moyo
na sasa nimechooka kweli naseema
nilidhani nimepata mpenzi wa kweli
na k-mbe nimepatikana na mambo ya ajabu uuh
nia na madhumuni yako nimeshavitambua siwema kaka, siwema kaka ah ah aah
unaajitapa mbele ya rafiki zako, kwamba mimi
sina la kusema mbele yako, umeniweka kwenye
kiganja ah ah
unalotaka ndilo ninalofanya, sababu wewe ni mzuri sana
siwezi kupata mwingine kama wewe
siwema kaka, unajidanganyaaa
wema w-nguu ndio ulionipooonza, fadhila zote k-mbe kwako ni buree
malipo yake kunifanya mjingaa .wouwoo
ayo yote ni makosa yangu, lakini sasa nimejifunza
kutokana na makosa aah
najiepusha nawe mamaah
nimezunguuka tz baraa ah.unguja na pemba nimefika aah, nimewaona vijana wenye sifa aah, wenye kujipamba wakapambika aah x 2
kwahiyo niielewe brother,
sibabaishwi na suraa haaa, napenda tabia njema
(sibabaishwi na sura yako)
sibabaishwi na sura aaah, napenda tabia njeema
(usifikiri mimi limbukeni sana)
sibabaishwi na sura aah, napenda tabia njema
(nilikupenda kimapenzi)
sibabaishwi na sura aaah, napenda tabia njema
(ukaniona mimi sugar mumy lako)
sibabaishwi na suraa aah, napenda tabia njema
(tabia njema ndiio silaha yako)
sibabaishwi na sura aah, napenda tabia njema
(kila mtu atakupenda kaka)
sibabaishwi na sura aah, napenda tabia njema
Random Lyrics
- betsie larkin & dennis sheperd - let it rain lyrics
- 윤기타 - 강아지 lyrics
- olle burefors - stolen lyrics
- fear factory - regenerate lyrics
- nikita & wawan yap - the prayer lyrics
- sha - sama lyrics
- märvel - hello! lyrics
- itsthereal - just to make dough lyrics
- beautiful nubia & the roots renaissance band - mama bendel lyrics
- saint c - vibe out lyrics