lady jay dee - tangu mwanzo lyrics
[chorus: lady jaydee and both]
tangu mwanzo
tangu mwanzo
kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika
visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua
hii ni tangu mwanzo
oh+oh
tangu mwanzo
[verse 1: lady jaydee]
ukichafua, usafishi
ukiazima ‘unachukua, haurudishi
ukipewa uridhiki
asante kusema huk+mbuki
la+la, la+la
oh, la+la, la+la
[verse 2]
na ukisema unarudisha, haurudishi
inaenda moja kwa moja, kwa moja
tangu mwanzo
(tangu mwanzo)
[chorus: ladyjaydee and both]
tangu mwanzo
tangu mwanzo
kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika
visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua
hii ni tangu mwanzo
oh+oh
tangu mwanzo
[verse 3: belle 9]
k+mchunguza sana bata
kushiba itakuwa stori
hata kosa sio kosa, wataka niseme “sorry”
unayaleta mpaka chumbani maisha ya insta
ndoa ni moyo huwezi kuweka filter
kila siku vikao ni kama vita
umebadilika
ulivyo kolea, uliniuliza ‘ufanye nini, nisikuache
ukanipa sifa nyingi, ‘nyingi eti kama mimi tuko wachache
kuchelewa kurudi, marafiki zako wanashauri uniache
[chorus: lady jaydee and both]
tangu mwanzo
tangu mwanzo
kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika
visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua
hii ni tangu mwanzo
oh+oh
tangu mwanzo
Random Lyrics
- syrup16g - 真空 (shinkuu) lyrics
- tobuscus - nobody cares lyrics
- seotaiji and boys - 난 알아요 (i know) (’04 zero) [live] lyrics
- tana - on me* lyrics
- лэп. (lap.) (rus) - не значит (not equals) lyrics
- jaywill (fra) - ocarina forest lyrics
- lfe1ry - издеваются (bullying) lyrics
- mascara - half light aftermath lyrics
- lancey foux - getuhome lyrics
- greendex - echoes lyrics