azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava – dede lyrics

Loading...

[verse 1]
niamini eeh mimi mwingine sina darling
na sikufunzwa mbaya tabia
mahaba niue mimi kwako chali chali
ndani donda funza nish-ga jifia
bora kukueleza imenishinda siri
we ndo umeniweka kiganjani
na nikiteleza unikoshe na mwili
chonde usije nieka visangani

[bridge]
nawe chunga kauli zinaponza
zitafanya tuwe maadui maadui
kinywa tia kufuri na macho fumba
usije kutamani mabedui
mabeduii iii

[chorus]
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
sitaki mwingine you are my only one
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
mi sitaki mwingine you are my only one

[verse 2]
natamani makosa yasingekuwepo
tusikoseane ooh babe yoyo
na samahani ingekuwa kama kichekesho
tuchekeshane eeeh
oh bila choyo
naweka wazi shahidi moyo w-ngu
we ndo fundi wa raha zangu
kachumbari uzandu uzandu kwako bwelele
mkuna n-z- mwali kwa matandu
mi pweza na ngurupandu
unavyo mix na chachandu sinaga kwere

[bridge]
basi chunga kauli zinaponza
zitafanya tuwe maadui maadui
kinywa tia kufuri na macho fumba
usije kutamani mabedui
mabeduii iii

[chorus]
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
sitaki mwingine you are my only one
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
mi sitaki mwingine you are my only one
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
sitaki mwingine you are my only one
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
mi sitaki mwingine you are my only one (eeh)