azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava – gundu lyrics

Loading...

wasafi
eeeeh noana maajabu kinanizonga kizaaaaa zaa
kila mahesabu ninayopiga yanakataa
nahisi mababu mizimu yao imechachama
au sina thawabu mola nioyeshe nyota ya jah eeeeh…
kulia nimelia nikamaliza leso nimekosa kipenda roho
nimekaa subiria huenda akaja kesho
nilipododosa kote ngoma droo mwenye mapenzi atokee anitetele
joto pepe anipepelee
niwe mtoto tetele ohoo tetele
anidekee deke dekelee
heee mi niepuke gundu (oooh gundu)
penzi linanichachia gundu (oooh gundu)
nuksi imenisishukia gundu (o ooh gundu)
penzi chachia gundu (o ooh gundu)
nuksi imenisishukia gundu

ama sina bahati jini gani kanivaa
aso na jema kw-ngu
ninaye mtaka simpati vihoja tu na kharaha!
yaani vangu vangu
mie lyee nahisi nalala na gundu najisonya sonya!
penzi sasa bila udi ni malonya lonya!
nishapangwa kwa nakundi nikabonywa bonywa
licha ya w-ngu ufundi nikapokonywa mi
nataka mwenye mapenzi atokee (anitetele)
joto pepe (anipepelee)
niwe mtoto tetele (oh tetele) anidekee deke dekelee
heee mi niepuke gundu (oooh gundu)
penzi linanichachia gundu (oooh gundu)
nuksi imenisishukia gundu (o ooh gundu)
penzi chachia gundu (o ooh gundu)
nuksi imenisishukia gundu

iyo layzer



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...