azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava – hatuachani lyrics

Loading...

achana na hao manyambafu
wasikupande kichwani
midomo yao michafu
isikunyime amani
we ni pende kama sarafu
unifiche kwapani
na unigande siafu
hata tukiwa njiani
hawapendi kuona
penzi linafika mbali
udi wanachoma
usiku huwa na hawalali
wanakesha kwa sangoma
penzi walitie misumari
wasikupee homa
mambo yatakuwa ng’aring’ari

naomba zifikisheni habari
kwa rika ndomombo
kurukushani za mondi na zari
zimenipa somo

hatuachani, hatuachani
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling cheza rhumba
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling sakata rhumba
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling cheza rhumba
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling sakata rhumba

wala usijaribu
kuwapa nafasi waf-kunyuku
watakutia aibu
zao kubwabwaja kama kasuku
kujifanya wataratibu
hawana lolote mazumbukuku
wana maswahibu, waongo
hata mwezi mtukufu
tusile tembele
kisamvu kwa nyama
wataona gere
na kutusakama
vibwabwa jengere
na vikuku vya ngama
watapiga ndele
vipate kutukwama
wao wapae na umbo
sisi hatujali
yatawakereketa wavimbe matumbo
hatuna habari eeh
wao wapae na umbo
sisi hatujali
yatawakereketa wavimbe matumbo
hatuna habari

eeeh
naomba zifikisheni habari
kwa rika ndomombo
kurukushani za mondi na zari
zimenipa somo

hatuachani, hatuachani
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling cheza rhumba
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling sakata rhumba
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling cheza rhumba
hatuachani, mimi naye darling
hatuachani, darling sakata rhumba

aga
rhumba mama rhumba
tulicheze rhumba
rhumba mama rhumba
tulicheze rhumba
rhumba mama rhumba
tulisakate rhumba
rhumba mama rhumba
tulicheze rhumba

aga
tulicheze (rhumba)
tulisakate (rhumba)
tulicheze (rhumba)
tulisakate (rhumba)
apo
apo



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...