lava lava - kilio lyrics
[verse 1]
hhhm hhhm
hali yangu mbaya
anifikiria akipata muda (akipata muda)
moyo ameshaugawa
pakacha penzi linavuja (limeshavuja)
mwenzie nna pagawa nahisi uchizi
na network haisomi
hhhm
anayofanya si sawa nakosa usingizi
mwilini miwasho na vichomi
eeeiiihh!!
[bridge]
mwambiee….!
kuachwa mateso nasulubiwa
mwenzie….!
yatima wa penzi mwana mkiwa
oh mie eeh!
mapenzi ugonjwa nimezidiwa
ni yeye..!
mwengine sioni kunitibia
uh!
[chorus]
kilio oh kilio oh
kilio na penzi langu
kilio oh kilio oh
huruma haana
kilio oh kilio oh
yarabi mola w-ngu
kilio oh kilio oh
j-po simama
[verse 2]
yee ndio barafu niliemlia yamini
pemba karafu marashi yangu mwilini
utamu wa ndafu mbona ameuitia kwinini
amenichezea rafu penzi amelikafili
eh..!
yee anajivinjali mwenzake nadoda
napata tu habari anagawa uroda
tetemeko moyo kupenda uoga
najiepusha mbali kukwepa vihoja
[bridge]
mwambiee….!
kuachwa mateso nasulubiwa
mwenzie….!
yatima wa penzi mwana mkiwa
oh mie eeh!
mapenzi ugonjwa nimezidiwa
ni yeye..!
mwengine sioni kunitibia
uh!
[chorus]
kilio oh kilio oh
kilio na penzi langu
kilio oh kilio oh
huruma haana
kilio oh kilio oh
yarabi mola w-ngu
kilio oh kilio oh
j-po simama
[outro]
moyo w-ngu bado (mteke mteke)
asinikondeshee
mwenzake bado (mteke mteke)
asinizeeshe
me mdogo bado (mteke mteke)
asinokomaze roho
moyo bado (mteke mteke)
Random Lyrics
- eminem - chloraseptic (remix) lyrics
- beck - dreams lyrics
- vibrações - minha pretinha lyrics
- pala ancha - padre ejemplar lyrics
- dark polo gang feat. tony effe - fuck gosha lyrics
- donguralesko - poczekaj moment prod. the returners lyrics
- gavin james - watch it all fade lyrics
- jessie j - i got you (i feel good) lyrics
- zetha - smog lyrics
- ravi - move lyrics