azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava – magufuli baadae lyrics

Loading...

baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

nenda salama baba
si tupo bado tw+ngojea
j+po tuna simanzi

twakesha kwa ibada
na dua njema tukuombea
watoto kwa wazazi

eeh ni mengi umetufanyia
shukrani nahisi haitoshi
kalale pema shujaa

taifa lakulilia
tw+tamani urudi tufosi
tumebaki na butwaa
kusema ukweli ulituhusia
tufanye na ibada
wanafunzi kufeli hutaki sikia
shule wasilipe ada

za kisasa reli umetuachia
ya juu madaraja
viwanda vya ndege mambombadia
mbona we hujavitumia baba?

baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae

natamani siku zirudi nyuma
tukulipe j+po theluthi ya wema wako
ila haiwezekani, haiwezekani
ila, ila, msalimie nyerere baba

baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae
oooh baadae, baadae
magufuli baadae
tutaonana baadae



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...