lava lava - nitake nini lyrics
kwako tena sitamani
nilishajua nilivaba
huna jipya
kurudi haiwezekani
nlishalioga janaba nikajisafisha
mhhhhh
oh maradhi yangu yamepata muuguzi
mola w-ngu amenivusha viuzi
pole mwenzangu unokesha kwa waganguzi
nishapata waangu anojua nogesha chuzi
naaaa
ananipa mapenzi na kunijali dear
ya nyuma niyasahau
naaa
anamaliza tenzi kutwa kunisifia kwa methali na nahau
kwengine nitake nini
ntang’ang’ana nang’ang’ania
oh mimii
nang’ang’ana nang’ang’ania
sitaki madanga wa mjini
nang’ang’ana nang’ang’ania
oooh mimii
nang’ang’ana nang’ang’ania
aah atake cha mvunguni
sawaaaa sawa
bingili za sakafuni sawaaaa sawa
michezo ya kusaka kunguni
sawaaaa sawa eeeehhh
tom la jerry katooni
sawaaaa sawa
sawaaaa
nliposema wa nini ye aliwaza atanipata lini
ngendembwe za nini na vijembe vya chini chini
yupo makini penzi kashalibana na pini
anipenda mimii hajazoea kuzinizini
kwanza kakuzidi maarifa
mpira tisini dakika nyavu an-z-tikisa aeeee
mlangoni mpaka kwa dirisha
pindu ananipindisha
mtoto ananifikisha aeeee
naaaa
ananipa mapenzi na kunijali dear
ya nyuma niyasahau
naaa
anamaliza tenzi kutwa kunisifia kwa methali na nahau
kwengine nitake nini
ntang’ang’ana nang’ang’ania
oh mimii
nang’ang’ana nang’ang’ania
sitaki madanga wa mjini
nang’ang’ana nang’ang’ania
oooh mimii
nang’ang’ana nang’ang’ania
aah atake cha mvunguni
sawaaaa sawa
bingili za sakafuni sawaaaa sawa
michezo ya kusaka kunguni
sawaaaa sawa eeeehhh
tom la jerry katooni
sawaaaa sawa
sawa
Random Lyrics
- al2 el aldeano - el cuartico lyrics
- pikku herkko - sä tiedät mut lyrics
- scrop - mami dime lyrics
- chillinit - interlude (mama) lyrics
- frankie valli - secret love lyrics
- reynmen - dolunay lyrics
- dan mccafferty - i can’t find the one for me lyrics
- daniel johnston - kicking the dog lyrics
- cristian castro - 60 segundos lyrics
- fat dave - davey lyrics