lava lava - niuwe lyrics
[verse 1]
ana shepu buffalo
mwendo kama hakanyagi chini (hakanyagi chini)
njonjo kangaroo
kafungasha double kibini (double kibini)
anaguu la beer tende
kifuani dodo embe
kipotable dayna nyange
akitembea ndembe ndembe
yani kama mzembe
mambo yote paambe
[bridge]
eenh okotaaa
usiogope okotaa
eeeh okota
inama inama
eenh okotaaa
usiogope okotaa
eeeh okota
inama inama
[chorus]
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
[hook]
kanabinua binu
kanabinua mugongo
kanabinua binu
kanabinua mugongo
[verse 2]
kiuno sakata
nizame topeni nisafishe dimbwimbwimbwi!
mtoto prakata kiuno shanga cheni
kishundu mbwimbwimbwi!!!
cheza nikuonge verosa (aaaah verosa!!)
shaku shaku shogorosa (shogorosa!!)
uganda maria rosa (aaaah rosa!!)
lagos dance makosa (dance makosa!!)
[bridge]
eenh okotaaa
usiogope okotaa
eeeh okota
inama inama
eenh okotaaa
usiogope okotaa
eeeh okota
inama inama
[chorus]
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
niuwe!! niuwe!!
niuwe!! mama niuwe
[hook]
kanabinua binu
kanabinua mugongo
kanabinua binu
kanabinua mugongo
kanabinua binu
kanabinua mugongo
kanabinua binu
kanabinua mugongo
Random Lyrics
- reaper (la) - heady lyrics
- alex rossi - reaction lyrics
- hedwig & the angry inch - wicked little town lyrics
- bruna viola - derramando saudade lyrics
- seu jorge - rock with you lyrics
- deep forest - twosome - marta & katalin version lyrics
- william fitzsimmons - distant lovers lyrics
- joeville - nosering lyrics
- g-eazy - coming home lyrics
- ghostwridah - i'm a boss lyrics