azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava – saula lyrics

Loading...

[verse 1 : lava lava]
mwenzako jicho chongo
kwa mwengine sioni tena
umenipa magongo nitembee
niache kuchechema
tujiepushe na waongo
hawakosagi cha kusema
ulinzi nguzo chuma dongo
penzi tuezeke na mahema
penzi langu la kizigua nakupa taratibu (aaah eh!)
na miuno nainengua washikwe na aibu
nazani hawajajua wewe ndo unaniharibu (aaah eh!)
na mwaka huu mbona wataugua wakose wa kuwatibu

[bridge : lava lava]
wewe nipe mambo ya pwani eti mwenzako nina nenge
kanga moja begani uno ulifunge tenge
mguu bara mguu pwani kama unaruka senyenge
wee nibinyie kwa ndani nitoke malenge lenge

[chorus : lava lava]
saula!!! (mambo yaweke hadharani)
saula!!! (kwani unamuogopa nani)
saula!!! (uyaweke hadharani)
saula!!! (kwani unamuogopa nani)

[verse 2 : harmonize]
kama karata umelamba dume
wengine garasa bado (saula!!!)
tikitaka kinyume nyume
mashoot kama ronaldo (saula!!!)
kaliona jiti kasaula kajitupa kwa kiwanja
kibichibichi kaa paula wa kajala masanja
we nipe nisivyopewa hadi nihisi raha ya dunia
nijione mwenye ngekewa mafisi waje ninunia
nipost usiogope sasa univizie mobeto
tena mashost na waropokwe tujichimbie magheto

[bridge]
wee nipe mambo ya pwani
eti mwenzako nna nnenge
kanga moja negani uno ulifunge tenge
siku ya kufa nyani kinyozi kakosa wembe
kule mtwara nyumbani tunaitaga singenge

[chorus : lava lava]
saula!!! (mambo yaweke hadharani)
saula!!! (kwani unamuogopa nani)
saula!!! (uyaweke hadharani)
saula!!! (kwani unamuogopa nani)

[outro : lava lava & harmonize]
aaah!! kibinda (aaah kibinda nkoe)
yeeeeeh!!! (aaah kibinda nkoe)
fanya kujipinda pinda (aaah kibinda nkoe)
eh yeeeeeh!!! (aaah kibinda nkoe)
cheza ukiringa ringa (aaah kibinda nkoe)
eeeh! (aaah kibinda nkoe)
zungusha nyonga madoido (aaah kibinda nkoe)
kakupa mama (aaah kibinda nkoe)
uno la kofi lomido (aaah kibinda nkoe)
binua bandama (aaah kibinda nkoe)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...