
lbk nandeboy - wapole lyrics
hii dunia ni ya walpole mbale
dunia ni ya wapole
dunia nia ya wapole sero dunia ni ya wapole
hii dunia ni ya wapole mbale
dunia ni ya wapole
dunia ni ya wapole sero
dunia ni ya walpole x2
si munatuvamia kunyamaza munatuona bayuma
sawa mujione ba pretres
tunaitika tuko bayuma
wanawaingiza na pete
hawata itika wa ancetres
watoto wao tuteseke
munacheza mbiyo bila mziki
mwatumikia wazungu
mwaleta vurugu mwajiona sugu
k+mbe nyiye mapuku
k+mbe nyiye mapuku
africain aoboma africain
pona mbongo ya mundelé
soni! nani ako bongisa africa
mawaa
hii dunia ni ya wapole mbale
dunia ni ya wapole
dunia ni ya wapole sero
dunia ni ya wapole
hii dunia ni ya wapole mbale
dunia ni ya wapole
dunia ni ya wapole sero
dunia ni ya wapole
tout se paiе ici+bas
malipo ni hapahapa
minakuachia dania
sinamuda kupigana
tout de paie ici+bas
malipo ni hapahapa
minakuachia dunia
sinamuda kupigana aaa
emisumbangire similwirе eee
similwire
emisumbangire similwire
similwire
emisumbangire similwire eee
similwire
emisumbangire similwire
similwire
hii dunia ni ya wapole mbale
dunia ni ya wapole
dunia ni ya wapole sero
dunia ni ya wapole
hii dunia ni ya wapole mbale
dunia ni ya wapole
dunia ni ya wapole sero
dunia ni ya wapole
Random Lyrics
- the prophec - all for you lyrics
- hauntingclaire - sorry, i cant do this lol lyrics
- young zack 44 - punch in lyrics
- bbyafricka - dumbo lyrics
- bartis - j3rk lyrics
- alysson bovier - medo (nova versão) lyrics
- jonoosis - spend lyrics
- hakuna group music - la fila lyrics
- supercool manbro - unstable lyrics
- 3xmacoño & lv la prudence - histoire lyrics