leteipa the king - dwanzi lyrics
verse 1
unashout na nguvu but siskii kile unasema babe
unanitoa roho
naunanikaba koo
k+mbukuka mi sio wazungu wale unacheki kwa sinema babe
sometimes huwa naboo
kwanza nikiwa sina dooh
nikikosea unaexpect kw+ngu iwe burudani
but mi nikikosa inawa scundle mob kwa majirani
you are so lucky niko humble sipendi visirani
ningekulamba likofi open your mouth nijaze miti ndani
hook
tukikosana unajaza tu matusi kwa status, ndio nicheki nijikalie
ati heri kudate mbuzi ama h0m+ erectus kuliko fisi linivamie
i feel like running away, nikajipende peke yangu
but i enjoy all the pain siwezi kuacha mpenzi w+ngu
chorus
kabujubuju, wewe kw+ngu ni kama mihadarati(despite thе effects am addicted to you)
na sio juju you arе the only c+ckroach in my kabati (you are my prefect what you say i will do)
majina yote nitakuita ill adore you like my granda (despite the effects am addicted to you)
ill protect you like my sister respect you like my mama (you are my prefect what you say i will do)
verse 2
when you are happy i feel so lucky coz you make it sweet and bulky chumbani
utamu wa mayai
na flavour warm kama chai
but when you are angry, its so ugly miaka laki nikiwa hungry jangwani
inawasha ka dhafai
na lethal kama rungu ya masai
you treat me worst than a thief heri kamiti ndani
sikuhizi hug ama kiss wataka risiti kwani
siku hizi chat ni madiss kivyumba vya burudani words tamu kama please, ninak+miss zilidissapear kwani
hook
tukikosana unajaza tu matusi kwa status, ndio nicheki nijikalie
ati heri kudate mbuzi ama h0m+ erectus kuliko fisi linivamie
i feel like running away, nikajipende peke yangu
but i enjoy all the pain siwezi kuacha mpenzi w+ngu
chorus
kabujubuju, wewe kw+ngu ni kama mihadarati(despite the effects am addicted to you)
na sio juju you are the only c+ckroach in my kabati (you are my prefect what you say i will do)
majina yote nitakuita ill adore you like my granda (despite the effects am addicted to you)
ill protect you like my sister respect you like my mama (you are my prefect what you say i will do)
Random Lyrics
- perdenin ardındakiler - dudaklarıma lyrics
- y2 - i'm tryna see sumn lyrics
- nakatomi x - мне нужна ссора (i need a fight) lyrics
- joshua epithet - amadan lyrics
- zeki müren - gizli aşk bu lyrics
- frodus - bussiness creep lyrics
- andy chrisman - complete lyrics
- alandremix - capital bra - mama i'm a criminal (fan made remix) lyrics
- 松原みき (miki matsubara) - cinnamon tea lyrics
- the skids - iona lyrics