azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

leteipa the king - mwambie lyrics

Loading...

verse 1
nimechoka k+meza mate, wenzangu wakila nyama
nachotamani anipakate
awe mitchele niwe obama
siku hizi nimewa chizi
kila muda nafikiria
kile mi nitampatia aingie kwa box
anajifanya busy
hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo

hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie

chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu

verse 2
natamani niwe yake simu, anifinye kila saa
awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir
huwa nahisi wivu , rafiki wakimk+mbatia, wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli
na nina maumivu, natamani k+muambia, ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli
hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie

chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...