leteipa the king - ndoto ya mchana lyrics
verse 1
niliskia tufununu, kwamba ulipata mwingine
anayekupenda zaidi ya mimi, mtafunga ndoa pengine
yetu ilikuwa shadow, mapenzi yenu yamekolea
lazima huwa anakupa, vitu sikuwa nakupea
ndoto zako zote, ulizoniambia
naona kama kweli sasa zinatimia
na sina chochote, cha kukuambia
ila nakonda kweli nikikufikiria
hook
sura yako umbo lako jamani eeh
busu na mahaba chumbani maami
mawaidha yako nikiwa matatani eeh
nikik+mbuka najiona hayawani maami
chorus:
nawatakia mema, (nawatakia mema)
nawatakia mema, (nawatakia mema)
nawatakia mema, (nawatakia mema)
basi kwaheri kwaheri kwaheri mami (ndoto yangu ya mchana)
ingawa inaniuma, niko na furaha moyoni
kuona kwamba umepata, vyote ulivyokuwa unatamani
naomba nipate mwaliko, wa harusi nije nile wali
nipige picha na wadau, nikupe zawadi kama zamani
alafu ntapeform, kama beshte yako, kale kawimbo nilikuimbia shambani
na nitakuinform, tunza mume wako, j+po kuna vitu zenye ninatamani
hook:
chorus
ingawa ningependa,ungеkuwa w+ngu pekee, (nawatakia mema)
ingawa moyoni umeniachia kidonda, (nawatakia mеma)
namwomba mungu, anipatie mwingine kama wewe, (nawatakia mema)
hivo kwaheri kwaheri kwaheri kwaheri mama (ndoto yangu ya mchana)
lakini ninaomba, unifanyie favour moja (nawatakia mema)
ukijifungua kama ni wa kiume,mpe jina laangu (nawatakia mema)
na kama ni wa kike mpe jina la mama yangu (nawatakia mema)
basi kwaheriiiiiiii (ndoto yangu ya mchana)
Random Lyrics
- mad limit - ecstasy lyrics
- drewswrld - bruce lee! lyrics
- arjonasnb - aura / bwoy speaks lyrics
- modigliani - piccole città lyrics
- tori templet - ghosts lyrics
- the palmer squares - unlistenable (demo) lyrics
- winnie raeder - she (demo) lyrics
- above & beyond - making plans (acoustic) lyrics
- jorge jep - desamor lyrics
- sirebrum - lockdown disintegrated lyrics