leteipa the king - nipende mimi lyrics
verse 1
umeketi, kwa corner, ukifikiria
vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia
any shoe that, you admire, inawa ndogo kwako dear
mpaka sasa, umeamua, peku kutembea
umesahau kiatu chako kipo
kimetengezwa tu kwa ajili yako
hook
ukiwa kwenye shiida
unajililia
ntakupa kitambaa, ujipanguzie
ntaketi kando yako, mpaka utulie
kisha nikuimbie, mpaka usinzie
chorus
labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio
yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio
they used you na sasa wanakuita kif+gio
but nipende mimi…
nipende mimi
verse 2
you think that, you are lonely
coz no one is close to you
and even those that, are closer, they never bother to fight for you
umeapa kamwe, hutawahi penda
juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni watakutenda
give me a chance to prove your statement is wrong
naapa kwa wote wanaoskiza this song
hook
labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio,kilio kiliiiiioo
hook
ukiwa kwenye shiida
unajililia
ntakupa kitambaa, ujipanguzie
ntaketi kando yako, mpaka utulie
kisha nikuimbie, mpaka usinzie
Random Lyrics
- dj pøssycat - one too many 2021 lyrics
- 藤山一郎 (ichirou fujiyama) - 山は青いぞ (yama wa aoi zo) lyrics
- judas priest - grinder [live in london] lyrics
- big blonde - no talent lyrics
- teamheadkick - rocking the creed (assassin's creed unity) lyrics
- jenni rivera - motivos lyrics
- jeffreymmviii - make it better lyrics
- aarón jökullsson - lilium lyrics
- mladi dejz - kani lyrics
- olltii - 96 problems lyrics