lil dwin - convo 1 lyrics
intro
dwin :
flows illegal ka nasambaza mijani
fly siwajui hata marubani
started k!llin rappers kesi zkafika nyumbani
ma akasema hili jini akaanza choma maubani
ngoja
dwin vip mbona uonekani?
dwin :
am like nipo muda mwingi naspend kichwani..
fan :
mia niliiskia came up ile ngoma sio utani
huku mtaani wanasema kubabeki huyu mchizi gani?
man its funny
ushaweka mazao vipi fao ?
vip watoto mastar ushapita nao achana nao
vip rappers wanaojikuta wanajua vipi hao ?
minajua utawaua tu ama zetu ama zao
vipi tena kuhusu game .. game letu vip lao
tushasumbua tu maskani vipi kusumbua na kwao
kuna verse siunasema game demu vipi bao
we tired of f+kin waitin my n+gga wats wrong wit now
nambie
achia ngoma mwana promo tuachie
mi najua tu ukitoboa hutotusahau na sie
embu fanya rappers walie
fanya mainstream tuingie
mwanangu kuna watoto insta mi nataka niwa++
ah forget about it
lets be about it
navo kuamini mwanangu how come they doubting
vipi media zinabana huko huko tutabanana
unataka uniambie kuna ambae hivi anaweza fanya
i`ll bet a milli
dwin :
and am like nah not really
ngoja nkwambie kitu mwanangu nikupe siri
bongo hakuna ambulance sa nani atabeba milii
ndo maana sikuhizi wakikaza wanaogopa the way am k!lling
…sema fresh man am gonna be the greatest sooner than later
catch me rhyming on these papers kichwani nawaza tu paper
making it its like a bet maskani hakuna mikeka
and i’be wilding with my dawgs ila uwez kuta tunabweka
ahhha
all of these rappers my sons ahh
umri mdogo nalea afu nabonge la plan hommie
nataka kutoka ka sea
ndo maana siwezi kosea
afu peleka umbea
wanaojikuta wajuzi nikizama tu booth sikuhizi siachi wanyea
and they be like “am not fair”
like i really cud care
sikuhizi peni inaongea ’x2
n+ggaz say prayers
Random Lyrics
- indigo la end - 大停電の夜に (the night of a power outage) lyrics
- jonathan traylor - purpose over pleasure (live) lyrics
- provinz - mach platz! lyrics
- eeleya phoon - в закрепе (pinned) lyrics
- quinb - get your shit straight lyrics
- uvelunes - жёлтый диван (yellow sofa) lyrics
- notlocked - butterflies lyrics
- ouija macc - ostriches lyrics
- agile gibbon - return of my landlord lyrics
- metal carter - è troppo tardi lyrics