azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lilpyynx - chizi lyrics

Loading...

[intro]
pyynx hii ni very bad!

[verse 1]
majina pyynx pyynx pyynx number eight southside, ni ule producer na editor flani
rada gani nimeamua kutokea before nime+legalize na ma+brejin hadharani
kuja na ndai hata kama ni car+for+hire bora hiyo whip ni deadly tuchokoze majirani
m+pesa balance inanitolea machozi, unaomba za cabbage like buda we ni m+funny

[verse 2]
high school kuna watu wanaboo wana+boast venye funkey wanahanya manzi most
hiyo pang’ang’a buda joh itaku+cost aliomba chain topa akadunga ma+lacosté
ikafika d+day akarambwa akapangwa shiko form one alimpima hadi number
“manze hiyo funkey nimejibamba,” after two weeks ali+transfer akaenda chuo flani naivasha

[chorus]
la, lalala lalala, lalala lalala
ukileta ujinga kwa base utatoka sai
come hizi sides utajua tumechizi

na, nanana nanana, nanana nanana
utajipoteza nanii utachotwa money
come hizi sides utajua tumechizi

[verse 3]
feelings zako personal, jiekee, ku+change personalities kama ben 10
riba ni machete shing+shang zinakata ati ulitoa kapa chwani ka sadaka?
site ya job mna+act very bad mkubwa anapigana kalamu amegeuka author
mi simati mi si+care mi sitii ma+hater kila mahali wanadhani nitachoka
[verse 4]
king bizzy nadai unisakie bibi nimekuwa too single ni ka nina+date mimi
dem ako fiti lakini akili iko pending akivaa baggy utadhani ye ni peng+ting, really
na ni kienyeji niliuliza “what’s your poison?” akajibu “ya mende kwanza ukieka kwa viti.”
hapo nika+patch patch patch in a minute, venye nilitoka buda huezi amini

[chorus]
la, lalala lalala, lalala lalala
ukileta ujinga kwa base utatoka sai
come hizi sides utajua tumechizi

na, nanana nanana, nanana nanana
legeza legeza my friend utatokwa utatii
come hizi sides utajua tumechizi

[verse 5]
ndio kutoka mall kama heavy window shopper mboto nimepiga mingi ka matanga za ocha
u. s. i. u. ni ma+bentley daily na mi sai ndio na+work hard nipate pa ku+dose na
nitazoza nitoke block na helicopter na ikishika sana natoka na mama mboga
mtakipatapata mki+bother crime rates zimeshuka hadi ndeng’a zinauzwa na offer

[verse 6]
avoid vako za fei na shiro unanyongwa daily bread ndio umshikie chipo
na hiyo kiburi arif aliseswa alibonga shonde akapokea salamu chekwa chekwa
prezo is the head of this state, lakini anajua kama he’s the head of our current state?
useless ka set+square za set, ego too high siku hizi mi siambiwi sh+t
[chorus]
la, lalala lalala, lalala lalala
ukileta ujinga kwa base utatoka sai
come hizi sides utajua tumechizi

na, nanana nanana, nanana nanana
masaa ninadunga ma+j’s unadunga toughees
come hizi sides utajua tumechizi



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...