lilpyynx - mbcity lyrics
[intro]
pyynx hii ni very bad!
(mbcity tumefika market…)
[chorus]
mbcity tumefika market
tuna+ball na ma+grades tuko perfect
kuna success una+fill in the brackets
in the end tuna+end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una+chop unaichapa kazi
una+joke una+joke unageuka mrazi
mbcity tumefika market
tuna+ball na ma+grades tuko perfect
kuna success una+fill in the brackets
in the end tuna+end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una+chop unaichapa kazi
una+joke una+joke unageuka mrazi
[verse 1]
“una+fail una+bury the hatchet,” si huwa hatu+fail tunapeana chances
you talk when wе say nyi ni puppets bonga vibaya ujipate na crutches
, high school sijai ona harrasment
high school hakuna red carpet sote ni equal hakuna mtu perfect
[verse 2]
zabe ya rincy makapa hunyesha school renovation alileta
ye hukuwa best friends na m+pesa so educated ye hutupa lectures
we ni rincy one of a kind as you live on your life we jua tunakupenda
[verse 3]
kwach, jaduor, okoth, ye ndio mastermind wa masomo
kukuwa number one all kenya si mchezo ni ka alitushindia lotto
harry g aka+come kueneza, m. b. r. m. b. t. kuendeleza
k. c. s. e. kupita sio pressure 9.5 kufika sio pressure
[chorus]
mbcity tumefika market
tuna+ball na ma+grades tuko perfect
kuna success una+fill in the brackets
in the end tuna+end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una+chop unaichapa kazi
una+joke una+joke unageuka mrazi
mbcity tumefika market
tuna+ball na ma+grades tuko perfect
kuna success una+fill in the brackets
in the end tuna+end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una+chop unaichapa kazi
una+joke una+joke unageuka mrazi (unageuka mrazi!)
[outro]
pyynx hii ni very bad!
Random Lyrics
- palmaine - bando lyrics
- gift (kor) - 나가려다 (stay alone) lyrics
- 27 mari - p ou g lyrics
- claude debussy - fleur des blés lyrics
- miseryswin - pressa (me deixa voltar só uma semana?) lyrics
- aysun ismayılova - heç olmasa lyrics
- simone ruth - gta lyrics
- biv - i think i died in 2017 lyrics
- nomi&loke - jul med lyrics
- meancult - vantablack lyrics