azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lily white - in step lyrics

Loading...

swahili language
verse 1 lilywhite
tusipende za kimwili
tumfuate mungu tu
natusome bibilia
tujijenge roho juu
natembea by the spirit
sifuati ya dunia
na kwa yesu tu pekee ndio me naaminia
amenibariki ndio maana nashuhudia na
amenipa neno ndio maana nahubiria
wa kubwa kwa wadogo
waweze kuniskia
sauti yangu napaza
injili nasambaza
najua me ni mdogo but nimetoka far
majaribu ni kabao but me nayakataa
nakemea roho zote zilizo nipiga ngeta
niko free from my past niko beta

chorus
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice

verse2 lilywhite
binadamu hawezi ishi kwa mkate pekee
huyo ni yesu jangwani shetani alimjaribu
kama kristo simama imara na neno
ya dunia ni maneno tu
ushai skia
bad company spoils good morals
ka ni hivo heri me nistay solo
wase bibilia ndio me hufollow
team yangu huwa ya wale wasee wapole
ai si tunakataa
life finje finje bro si tumekataa
life usherati?
bro situmekataa
nimeoshwa kwa damu nikabatizwa kwa moto okay

chorus
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice

verse (tcj muzik)
yes inanice kutembea njia narrow mahali hakuna jam man
yes inanice kuimagine baba akinisho well done child karibu home
ju time nilikua rome sikuconform siku roam
sikufollow form za kufit in (outcast)
form ni k-murder flesh walking dead
usiwalk na sight spirit led
turn it up turn it up turn it up
pursue peace na wote na uombee adui fam
make love not war weh si pharisee ama sadducee
we ni royalty

chorus
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice

verse jafari
walk with the spirit not the flesh
i believe in the name not the face
i breath with my lung not my chest
i kipchopchoge that beat these speakers need a breath
yesuu deni alipay
alilipa extra sai naeza kukopesh-
nikitembea nina tembea na mhesh-
miwa ndo the best remedy ya mapresh-
eeerr god bless
mi nakuombea uwache kupay rent
mi nakuombea uaache tip tukispend
mi nakuombea ukujange kwa god na ma thanks
kwani ikonini
niko fiti, i walk with the holy spirit
sio siri kama noah baraka mbili mbili
moja left moja right you the life wee ndo light uko lit kama box ya kibiriti
the glory belong to god mi nacheza shini
skiza mziki wacha kusikiza ibilisi
ministry imenitoa misery ya misri misiwaringii
sai niko fiti

chorus
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice
a a amenipa life na
b b me niko born again na
c c tuko fly kama kite
d d dance ka imekunice

this is artict



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...