
linkyonwaves - lamboo na benzoo lyrics
[chorus: linkyonwaves]
home town tuko fiti tuna hold it down
we baki ocha tuko jobless bana huku town
nataka euros na dollars hata pia pounds
na uki zusha naku trace yaani naku out
nataka lambo na benz wewe saka clout
nataka lambo na benz wewe saka clout
nataka lambo na benz wewe saka clout
nataka lambo na benz wewe saka clout
[verse 1: eka 12]
niko cool niko fiti buda me niko fresh
daily kwenye hustle ndio niget hio cash
tuna hustle daily tuki saka hizo noti
tuki pata tuki kosa bado tuko fiti
trapping daily two five four na bado hatuchoki
we are handsome n+ggas madem wenyu hutunoki
always high n+gga si lazima ni ivishe
niki pata dough ni lazima ni ivishe
through me to the castle watch me come out as a king
me na gang gang tume jaza hizo bling
uki leta shida kama david ntaku fling
[verse 2: linkyonwaves]
tuna penda pesa, joh punguza prеssure
niki taka lambo una taka kuwa tesa
tuki lala njaa ulikuwa una meza
ona uko brokе una hate wenye pesa
joh, life ni fiti
[chorus: linkyonwaves]
home town tuko fiti tuna hold it down
we baki ocha tuko jobless bana huku town
nataka euros na dollars hata pia pounds
na uki zusha naku trace yaani naku out
nataka lambo na benz wewe saka clout
nataka lambo na benz wewe saka clout
nataka lambo na benz wewe saka clout
nataka lambo na benz wewe saka clout
Random Lyrics
- misternonadj - múltiplas cores lyrics
- lip dip - i won't wait lyrics
- luna ki - septiembre (remastered) lyrics
- holding onto hope - ourselves lyrics
- bek & wallin - valiant 2017 lyrics
- mx-80 sound - gary and priscilla lyrics
- pluffaduff - chemical cannon zone lyrics
- lewis james - worth the pain lyrics
- saltador - por el mar lyrics
- larucus - like you lyrics