longnus - gimme that remix lyrics
intro
ha haaa!
hunchooo(huncho once again)
neezy
fuegoo
chek
verse 01
leo ni shughuli hivyo sina budi
kurudisha marapper walofeki itikadi
raisi kwa serikali wanorap vigood
ni mood
kwa hivyo kuniskiza inabidi
yeah!
boyz udada mwingi they need to change gender
tazama mashauzi mingi mpaka boyz wataka wapanda
najua utaleta misingi mwanzoni mwisho utaipenda
f+ck outta my face husupport ka vipi kwenda, (fuegoo)
huncho big nation tunawalk kwa mavision
one man army mwenye gang za online
tv na redioni kimuziki sina ramani, ,(haa)
nilitosa hustle zile so leo since zamani
tell them i’m back n+gger na hii ni mazishi
flowers kwa kaburi nimeleta zika rubbish
name your price naibuy bila ushawishi
hatulingani kwa viw+ngo hakuna ubishi
woooh!
sasa you wanna shake hands and share your links, (what?)
f+ck off, don’t know mlieka wapi your hand’s
when i started my career, wote ninyi mlibana accеss
mlish+ga toss kwa zile hustle nilimess
aaah!
i bе slay sh+t kama nonsense,(what)
rappers wako wacky na ma fan page,(come on)
wanabreak rule bila licence,(vamos)
trapper too funny na mavibe gage,(fuego)
rapper wengi last born kwa game, (haa)
hawana unique wanasound the same,(that’s true)
kelele mingi n+gger they’re after fame
hawaoni future wako radar na madem
ha ha haaa!
hustler hustler, always straight forward kufanya major moves ambazo hamkujaribu
wacky wacky, mtabaki mna+air around sabu mziki yenyu hata taste mliharibu,(raaa)
neno legendary weapons even mkichoma photo, tunatrendy mnahate hata bila sababu
gangster gangster, f+ck that’s nonsense fanyeni hata commercial tuwashikishange adabu
woo+hoo! mnajiskiza wenyewe
since niwarobe fan base mmechill kinyonge, (ha haaa)
ha haaaa! kwani gani hadi mchelewe
sasa tunadrop tape na mob ep za genge,(poa)
aaah! mnajichukiza muelewe
hii ni talent flan hamuwezi kuik!ll kisenge
powaaaa, tuliza ili upewe
ni mbali nimetoka kwa adobe tusharekodi
album mingi kwa ghetto huwezi fika idadi
nimeshafanya za kila aina uliza akina sudi
tushapanda mashow ya bure na bado tumerudi
siku izi watoto mnagive up mapema kabla ya hustle
mmedeny ifanya kwa spirit wala kuvuna kwa jasho
tulianza rap iyo kipindi before eminem akuwe martial
kwenda tao kufata bang lazima uskize nako to nako
mumbling…..
Random Lyrics
- opium warlords - the god in ruins lyrics
- wet bed gang - dá um halla lyrics
- smack - bad man song lyrics
- soulby thb - kama pleure lyrics
- pink laundry - hot damn lyrics
- lucas of maine - stradlater lyrics
- aaron yan 炎亞綸 - 聰明傻瓜 (lovefool) lyrics
- lb freeman - my diary lyrics
- moment joon - losing my love (dx version) lyrics
- tal astilla tandil - torito lyrics