lucien brainy - sia lyrics
[verse 1]
wendo napenda
wengine nawaponda
kwe mwengine sitokwenda
umeniponya vidonda
we ni dactari w-ngu
tulizo la moyo w-ngu
we nimw-nga ndani ya giza
nikiliya wanituliza
wale wengine wameniumiza
ila wendo umeniweza
tuwa ache waseme
na kesho wakome
unipe mapenzi ya kweli aah
tuwape homa kidogo
mapenzi y’asali tuishi eeh
njoo tuwape vigogo
usiwe kama fulani
dada fulani
aliye niacha sababu ya pesa
[code]
nalingi yo, naleli yo, yonde mwasi nanga
nalingi yo, napona yo, yoza motema nangaa
[chorus]
sia eeh, sia eeh, sia eeh, sia eeh
sia eeh, my hunny, my love, sia eeh, sia eeh
sia w-ngu miye, ni wenjo napenda
acha waseme maneno, nimekuchagua
sia eeh, sia eeh, sia eeh, sia eeh
sia eeh my hunny, my love, sia eeh, sia eeh
[verse 2]
mimi na weye
ni mchana na mw-nga
waache waongeye, hawatuelewe
we si kama nao, walio niumiza moyo
we si kama nao, wenye mapenzi waushenzi
huchuruzi mapenzi, hatudanganywi
huchezewi kwa pesa, unapenda kwa kweli
sia nikikosewa, naomba vumilia
maneno wakiongeya, apana we kulia
we ni chaguo langu
we ni nyota yangu
we nitulizo langu
we nifuraha yangu
[code]
nalingi yo na leli yo, yo nde mwasi nanga
nalingi yo napona yo, yoza motema nangaa
[chorus]
sia eeh, sia eeh, sia eeh, sia eeh
sia eeh my hunny, my love sia eeh, sia eeh
sia w-ngu miye, niwendo napendaa
acha waseme maneno, nimekuchaguaa
sia eeh, sia eeh, sia eeh, sia eeh,sia eeh
sia eeh my hunny, my love sia eeh sia eeh (x2)
Random Lyrics
- yungkean - wieso lyrics
- acrania - dimensional molecular transcendence lyrics
- julien clerc - ce n'est rien (en duo avec zaz) lyrics
- megha - madagascar lyrics
- サカナクション sakanaction - ユリイカ (eureka) lyrics
- pascal pinon - en þú varst ævintýr lyrics
- steel banging - bez zasad lyrics
- latexfauna - lime lyrics
- 7.o.d - 2nd generation wu lyrics
- jean boss & lazka - todestag 2 lyrics