m.o.t.o. - blackfit lyrics
intro:
yoooh it’s originally, kutoka tanzania
yeeeh blackah fit originally
chorus:
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
mtoto moto moto moto moto yeeh
verse 1:
nina kitu maalumu kwako mrembo
kwanza nakuita w-ngu wa pekee
sintojali kutumia yangu peesa
nahitaji kila mmoja machoni akuone
kuwa we ni w-ngu, moto w-ngu wa pekee
chorus:
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
mtoto moto moto moto moto yeeh
verse 2:
allright dem
unataka gari ama nyumba?
ama nikuhonge dunia we utaringa?
unapenda sauti navyo imba?
basi bam bam shake cheza hizo marimba
eeyo de fit kabamba
fit karakada, fika no matter niko de
kankakara everday anakoma disa ntantara
piga bakora ziko katatara
karembo ni ka fyah aah aah
kademu ni ka mama aah aah
nakapenda nikabaya da aah aah
ata kama nikabaya bado ni kafyah
chorus:
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
mtoto moto moto moto moto yeeh
verse 3:
black fit natokea bongo (woii)
kitaa kimoja na man fongo (woii)
wabishi tokea kitambo (woii)
haka katoto ni karembo ooh yeah
wat dem say
e e e eh we ni senyoritah
a a a ah we ni tanzanian gyalah
nakupenda mtoto we ni fyah (woyowoyo)
baaaby nakupenda gyalah
eeyeah we ni senyoritah
aayah we ni american gyalah
bridge:
woyoh woyoh
oooooh bae daydede
huuu nanaana tanzania woyi
watoto ni moto, warembo ni moto
woyewoye black fit ooh black fit
chorus:
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
moto moto moto moto moto moto
mtoto moto moto moto moto yeeh
Random Lyrics
- jerry lee lewis - the alcohol of fame lyrics
- hotboysmizzy - business pt. 1 lyrics
- agnaldo rayol - amigos para sempre lyrics
- deem spencer - how beautiful lyrics
- yung van - if tomorrow comes lyrics
- harrison bergeron - darkness washed over the dude lyrics
- rico snchez + $kyhook - heliocentrismo lyrics
- m. t. hadley - rattle lyrics
- the irish rovers - trust in drink lyrics
- souly - 2007 lyrics