macvoice - mama mwenye nyumba lyrics
mama mwenye nyumba
mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
(next level music)
nusder!
mi najiuliza maswali, nihame niende mbali
kwa visa unavyonifanyia mama (mama)
mi namlaumu dalali, ndo kaniletea shali
mitego imenizidia jama, (jama eeh)
ah ah, kiti kipo hakai
akifua akipika nainama
mama kiboko, mama kiboko
jana kaniletea chai
leo kaleta ubwabwa na nyama
na kangamoko, na kangamoko eeh
anavyonipa mashawishi mwishowe nashindwa jizuia
yatanifika mazishi mumewe akinifumania
kasema hamfikishi mzee ana tumbo la bia
mama anataka mwichi yaani kisu kikachane pazia
aah niue nisiue? ua!
mwanamke wa mtu sumu
kuna jela na gesti
ndani nyumbani nina majuk+mu
aah niue nisiue? ua!
wasije kunivukia dumu
wazee wa vilainishi
wakapita mombasa na kisumu
mama mwenye nyumba
mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
mama mwenye nyumba
mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
nikimpa kodi anakataa, anairudisha eh
bill ya maji, bill ya umeme an+z+rudisha eh
nikimamkia anakataa, anajinunisha eh
kweli ngo’mbe hazeeki maini anajibebisha eh
usiku anagonga milango anakuja tuputupu
ananizuga samaki chambo, tucheki movie za rufufu
hajui nimetoka jando, ananifosi mabusu
nisije nikampa tango nikaishia kisutu
nikileta vimada visa, majanga shetani kapandishwa
oh mama mama yeah, mama yee
hakaukagi kujipitisha, wivu ndo unamkasirisha
oh mama mama yeah, mama yee
aah niue nisiue? ua!
mwanamke wa mtu sumu
kuna jela na gesti
ndani nyumbani nina majuk+mu
aah niue nisiue? ua!
wasije kunivukia dumu
wazee wa vilainishi
wakapita mombasa na kisumu
mama mwenye nyumba
mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
mama mwenye nyumba
mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
Random Lyrics
- kaifarixxx - kalikaif lyrics
- craig wedren & anna waronker - no return (extended version) lyrics
- linkin park - mark the graves (acapella) lyrics
- bby goyard - enough is enough lyrics
- nle choppa - drop top lyrics
- gino mella & best - viviendo el proceso lyrics
- creed tha kid - dollars lyrics
- akabyeolz - paradise: true love lyrics
- naked gypsy queens - georgiana lyrics
- yungdice - more trippin lyrics