macvoice - tamu lyrics
tamu lyrics
[intro]
tamu, tamu (eiyoo trone)
tamu, tamu (ayo lizer)
[verse 1]
sura tisi chocolate
kidoti joketi katoto ni keki (ehh)
nitamwaga bajeti, nikape tiketi
kunipeti peti (ehh)
eh ulivyojazia ukinisusia itanizidia, eeh
nang’ang’ania sitokuachia unanipatia, eeh
[pre+chorus]
sambusa kachori, napenda macho yako gololi
nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
sambusa kachori, napenda macho yako gololi
nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
[chorus]
alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
oh alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
ah alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
oh alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
vanny boy, no no no no no
[verse 2]
alamba ta, mutamu napenda ukitabasamu
unavyonipa kwa mashamu mashamu
hujaniita naka+mukamu
nitachuchumia na kuning’inia
nipekupania yooh
nitakusugulia ka steel wire
na masufuria yoh
nikisimama we lala, tamu tamu
nipe nguru sangara, tamu tamu
ukikamata mnara, tamu tamu
nitulize papara, tamu tamu
[pre+chorus]
sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori
nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori
nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
[chorus]
alamba (tamu)
ah alamba tеna (tamu)
oh alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
ah alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
oh alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
[ verse 3]
nimеshakupa seat, ukae mwenyewe ujinafasi
siwezi kukucheat, basi niamini ndo waasi
mi ni mfungwa kwenye jela yako, nifungwe milele, milele
kweli pombe ya mapenzi yako, niacheni nilewe, nilewe
[pre+chorus]
sambusa kachori, napenda macho yako gololi
nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
sambusa kachori, napenda macho yako gololi
nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
[chorus]
alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
oh alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
ah alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
oh alamba (tamu)
ah alamba tena (tamu)
Random Lyrics
- fergy53 - paranoia lyrics
- lvni.brynn - the winter lyrics
- ozzi - ser du meg nå lyrics
- the melodream (the melodic dream) - here comes the special feeling lyrics
- deadborn - pain is god lyrics
- paranoid 1966 - tokyo lyrics
- down with rent - surf's up, franklin county ohio! lyrics
- riit - uqausissaka lyrics
- s10 - dans mij naar huis* lyrics
- jotu - leeches lyrics