mad ice - malaika lyrics
(intro)
uuwo uweeee… uwoo mama.
sema malaika… heya… nakupenda wee.
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika
(verse 1)
nami nifanyeje
kijana mwenzio x 2
furaha moyoni napo kutia machoni
si utani angel kwako niko hoi x 2
nashindwa na mali mi sina wee
ningekuoa malaika x 2
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika x 2
(verse 2)
kidege kukuwaza wee kidege
ohoo kidege kukuwaza wee kidege
usiku silali mawazo mengi darlin’
nawaza ningekua na hiyo mimali
nikakulipia mali nikawa nawe mwali
nadhani mambo mengi kw-ngu yange kua swari
nashindwa na mali mi sina wee
ningekuoa malaika x 2
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika x 2
(verse 3)
pesa pesa zasumbua roho yangu
mi nasema pesa pesa…
zasumbua roho yangu
uzuri wako malaika
unanifanya nipagawe malaika
kila napokuona malaika…
nabaka nahangaika malaika wewe
ohoo owuooh
malaika… eeh nakupenda malaika
malaika… ooh nakupenda malaika wewe
malaika… heya nakupenda nakupenda wewe
malaika… nakupenda malaika
nakupenda wewe
nakupenda wewe
nakupenda wewe… til fade.
Random Lyrics
- tiger lou - days will pass lyrics
- tiger lou - gone drifting lyrics
- tiger lou - hey lover lyrics
- tiger lou - is this the life lyrics
- tiger lou - like my very own blood lyrics
- tiger lou - last night they had to carry me home lyrics
- tiger lou - lowdown lyrics
- tiger lou - like you said lyrics
- tiger lou - nova lee lyrics
- tiger lou - not true devil girl lyrics