mad ice - nionyeshe njia lyrics
Loading...
nionyeshe njia
usiniache nalia
wee mama wewe
wee dada wewe
nionyeshe njia
usiniache nalia
ukiniacha ntaishi vipi!
wee dada wewe x2
nionyeshe njia
usiniache nalia
tegemeo langu ni wewe
wee dada wewe
aah wewe dada wewe
aah aah ooh
kama kupenda nimependa
natena nimekuzoea
ukiniacha ntaishi vipi!
wee dada wewe x2
kama kupenda nimependa
natena nimekuzoea
tafadhali nionee huruma
oooh oooh oooh oooh
nionyeshe njia
usiniache nalia
wee dada wewe
aah wewe mama wewe
oooh oooh oooh oooh
Random Lyrics
- the promise drive - a mid-summer nights waltz lyrics
- the promise drive - another song, another girl, another year lyrics
- the promise drive - forever gone lyrics
- the promise drive - goodnight princess lyrics
- the promise drive - ruritan lyrics
- the promise drive - your name here lyrics
- jason michael carroll - happened on a saturday night lyrics
- sunrise avenue - dream like a child lyrics
- sunrise avenue - the whole story lyrics
- sunrise avenue - rising sun lyrics