madee - kazi yake mola lyrics
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
umekuta dunia imeandaliwa
na we bila hiyana si ukazaliwa
umekuta wasafiri
waliotutoka kwaheri
kimwili hauko nasi
kiroho tupo nawe
upo kwenye kina kati juu mawe
mchana na usiku tunaomba tuwe nawe
haiwezi kuwa sawa
ugonjwa unatibika, mauti hayana dawa
kwa heri mwanahawa, kizima huaribika
kufa na kupotea
mchana na usiku dua tunakuombea
ulale mahali pema huku unatungojea
njia yetu ni moja ipo siku utatupokea
salamu wasalimie wote utao wakuta
wambie babu tale machozi keshafuta
na keshalala matanga
tangu enzi zile alipoondoka kichanga
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
hii ni siri kubwa aloipanga manani
ata abdu bonge siku yako haijulikani
ata ukiwa na body kama producer majani
lazima uta kwenda vyovyote inalazimu
haina pakujificha siku yako inapotimu
tumuombee mwanahawa yupo kwenye mustahikimu
awe na ufahari mwili ukiwa kuzimu
umemwacha mpweke ibra model anakuwaza
kwani kila kukicha ye maswali anauliza
mjomba iddi eti mama yuko wapi?
inanibidi niongope huku sitaki
naangaza pale mbele mama chale -n-lia
pembeni namuona kwembe tall na ramia
mbele yao ukungu futa machozi mama dulah
yote kazi ya mungu
jikaze kama mwanzo alivoondoka
ally zungu
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
naomba mnisamehe kuomboleza nimechoka
namuona mwarabu sa machoz yana mtoka
siyo kosa lake bali yeye anauchungu
anawaza ndugu zake mwanahawa na ally zungu
usiwe na wasiwasi wamefika mbele ya haki
kifo ni desturi binadamu hatunyimiki
salamu kwako chuku
endesha kila kitu ndege, gari we utaweza
ila siku ya mwisho tutakubeba kwenye jeneza
na watu msururu
hapa msolwa, elly donoa pembeni mama lulu
rest in peace, pumzika kwa amani
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
kazi yake mola, haina makosa
kazi yake mola, haina makosa
anafanya atakalo, anafanya awezalo
kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo
end
Random Lyrics
- ciel rodrigues - print lyrics
- chxji - don't remix lyrics
- djo - win lyrics
- kyle massey - outside (freestyle) lyrics
- why sl know plug - alles ist designer lyrics
- pile - 一歩先へ lyrics
- mozhdah - i'll be fine lyrics
- ty segall - she is a beam lyrics
- golden parazyth - try again lyrics
- corvus corax - sverker lyrics