magix enga - safari lyrics
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari
breathe out, breathe in baby
(magix enga on the beat)
tukiboeka tunaendaga tu maroundi
tunapendana mashida tulisahau
ananipenda anataka niende kwao
akiwa mbali video calls kama thao
wanatupenda tuite goals si mabao
tunaplan family niitwe baba yao
akilala niko chest hadi morning
ka ni kupika tunashindana nani ngori
na nikitoka ni masimu yuko worried
pia niko worried naogopa majirani
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha wasemе eeh
breathe out, breathе in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
alisema anataka g wagon na sina doh
nikamshow niko na mipango niko na god
ye ni beshte ka ni sure hakuna noma yoh
uta rise iko siku watakoma
ni mrembo maisha simple na hapendi zogo
hatamani pizza anakula hadi mhogo
hapendi social media ni mimi tu anafollow
gangster point zimeshuka na twende bongo
hapendi social media ni mimi tu anafollow
gangster point zimeshuka na twende bongo
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
tukiboeka tunaendaga tu maroundi
tunapendana mashida tulisahau
ananipenda anataka niende kwao
akiwa mbali video calls kama thao
wanatupenda tuite goals si mabao
tunaplan family niitwe baba yao
akilala niko chest hadi morning
ka ni kupika tunashindana nani ngori
na nikitoka ni masimu yuko worried
pia niko worried naogopa majirani
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
breathe out, breathe in baby
ju bado tuna safari eeh
breathe out, breathe in baby
wacha waseme eeh
Random Lyrics
- יהודה פוליקר - ani rotze gam - אני רוצה גם - yehuda poliker lyrics
- ayamcamani - opia99 lyrics
- lance joos - letters lyrics
- peyne - favela lyrics
- overkill - scorched lyrics
- olvatron - отправление lyrics
- original mirrors - dancing with the rebels lyrics
- pev - podre! lyrics
- kasper gem - your door lyrics
- karim abo zaid - ghalta be ghalta | غلطة بغلطة lyrics