malika - sitaki sitaki lyrics
sitaki sitaki sitaki sitaki
j-pokuwa sina changu kweli kuonewa staki
sitaki sitaki sitaki sitaki
j-pokuwa nimnyonge mimi kunyanyaswa staki
siutaki usuhuba usokuwa na maana x4
naukata ukuruba kuwa ni mbaya sana x4
kwako wewe nimishiba kunifanyia khiyana x4
chorus:
mimi sitaki sitaki sitaki sitaki
j-pokuwa sina changu kweli kuonewa staki
sitaki sitaki sitaki sitaki
j-pokuwa nimnyonge mimi kunyanyaswa staki
umeivudha hisani ukae ukitambuwa x4
umejitoa thamani ulotenda siyo sawa x4
umeingia izarani watu wote wamejua x4
(chorus)
ulikusudia nini kutakaa kunidhiisha x4
kunitiya mtihani vituko kunionyesha x4
yakunitoa nyumbani sitosaha umaisha x4
(chorus)
kweli wewe ni mjinga simtuni hayawani x4
mambo kama yakushinda sababu kuyathamani x4
ukanifanyia hinda na kashifa mitaani x4
(chorus)
mulofanya ni aibu kukuambiya sitoshindwa x4
kuyapata madhulubu na wewe makuvunda x4
hukujalia yangu tabu na mazuri nilotenda x4
(chorus)
Random Lyrics
- fuse link band - arti hadirmu lyrics
- ash farizi - look at the sun lyrics
- lizard in paris - storm lyrics
- lizard in paris - closer lyrics
- lizard in paris - a lying fool lyrics
- indica - vourien taa lyrics
- sm the performance - spectrum lyrics
- the clef truants - don't want u no more lyrics
- tiana leandra - another chance lyrics
- nicki taylor - here comes vi lyrics