malosh - nazizika lyrics
[guitar instrument]
[verse 1]
ahhhh, ahhhhh, ahhhhhh
i see you walking through your door, na kenye nitafanya baby mi najijazia
nasema mi sijali like i don’t give a d+mn, lakini mbona basi kila saa nachungulia
ohh mara nikae, oh mara nisimame ama nibishe hodi kama fala nijifanye
nacheka kama chizi k+mbe ndani mi nalia, navumilia juu hadi siwezi kuambia vile
[bridge]
mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
kinipatia muda nami najua ni we chochote utataka nitakupa
[chorus]
n0body, n0body knows siri zangu bado n+z+ficha
n0body, n0body knows juu bado n+z+zika
[verse 2]
ok ni sawa ni sawa najiblame, sazingine ni mi ndio nashindwa what to say
ndio maana najificha ukiniona najificha juu sitaki niaibike
najua mi nasleki niongoje, ni vile hii mapenzi ni ya wenyewe
ni vile mi tu ni mgeni, ndio maana sisemi
[bridge]
mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
kinipatia muda nami najua ni we chochote unataka nitakupa
[chorus]
n0body, n0body knows siri zangu bado n+z+ficha
n0body, n0body knows juu bado n+z+zika
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows juu bado n+z+ficha
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows juu bado n+z+zika
[bridge]
mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipеndeza kama we
kinipatia muda nami najua ni we chochotе utataka nitakupa
[chorus]
n0body, n0body knows siri zangu bado n+z+ficha
n0body, n0body knows juu bado n+z+zika
Random Lyrics
- earl sweatshirt - the team did (i released it) - full version lyrics
- sun (germany) - razorblades lyrics
- eb£at - bad fantazy lyrics
- blawan - npcs making hot dinner lyrics
- valley grimm - wine drunk {p. sk3tch} lyrics
- molly seger - radio silent lyrics
- flatland cavalry - homesteady (home demo) lyrics
- kashcounti - diamondback lyrics
- ayaz qasımov - mən səni öldürdüm lyrics
- dtune_pl - de mono lyrics