mamajusi choir moshi - sema nami lyrics
nimeahidi yesu kukufuata wewe,
milele bwana w-ngu, rafiki na mwalimu
nimeahidi yesu kukufuata wewe
milele bwana w-ngu, rafiki na mwalimu
vitani siogopi, karibu vita
njiani sipotei ukinitangulia
2 (solo):
nimejitoa kwako kukutumikia
siku za maisha yangu niwe nawe
nimejitoa kwako kukutumikia
siku za maisha yangu niwe nawe
sema nami baba, sema nami
sema nami baba, sema nami
niko tayari mimi kukutumikia
niko tayari mimi kukutumikia
sema nami nisikie, sauti ya upole
sema nami nisikie, sauti ya upole bwana
itulizayo moyo mkuu uliotaabika
nitie moyo mkuu uliobondeka
sema nami baba, sema nami bwana w-ngu
niko tayari sema nami mimi kukutumikia
sema nami baba, sema nami bwana w-ngu
niko tayari sema nami bwana w-ngu
nyumbani kw-ngu sema nami bwana w-ngu
kazini kw-ngu sema nami bwana w-ngu
niko tayari sema nami bwana w-ngu
niko tayari sema nami bwana w-ngu
end
Random Lyrics
- lich king lyrics lyrics
- vine feat. red vox - lyanna lyrics
- 鄭興琦 - 你還好著嗎 lyrics
- kendrick lamar - love. lyrics
- slump lords - rn rn lyrics
- kendrick lamar - god. lyrics
- banda sinaloense ms de sergio lizárraga - ni yo mismo me la creo lyrics
- victoria wilson-james - future world lyrics
- phora - faithful lyrics
- miss mulatto - i remember lyrics