azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

marioo - asante lyrics

Loading...

mmmhh
ivi mapenzi ni kitu gani?
mbona sa hayana huruma mmhh

haya mapenzi ya nani ii?
huku mbele ah yamekuja kuwaje aah
gafla kila ninacho fanya hakimpendezi
eti namkera
na kasema akinifumania wala haimchomi
nafwata kila anachosema sijiwezi naunga tera
ila sababu ananinunia wala sijui
ubaya nilimpenda sana
ukweli nampenda sana
na kama mapenzi nilimpaga yote naumia sana
ubaya nilimpenda sana
ukweli nampenda sana
na kama hizi hapa ndo fadhila oyaa asante

asante
asante
asante

mi nawawaza majirani wanaojua nakupenda
ina maana wakiniona watajua sipo sawa
nikawakwaza kisirani popote ninapo kwenda
haya maumivu nani aje kuntua mwenzenu napagawa
mmh si sio mbaya kujisevia unachojisikia
hiki kipindi mi nalia hukosi wenzangu wanafurahi
si sio mbaya kujichimbia ulipopenda dear
hata kama nikilia sawa wenzangu kufurahi
ubaya nilimpenda sana
ukweli nampenda sana
na kama mapenzi nilimpaga yote naumia sana
ubaya nilimpenda sana
ukweli nampenda sana
na kama hizi hapa ndo fadhila oyaa asante

aah mh mh eehh
asante
eehh mh hm aaah
asante
mmmh ehh eh mmhm
asante
oyaaaa mhh aaahh
aaaaah
asante



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...