marioo - dar es salaam lyrics
[intro]
mh
kutoka, haloo
(it’s cannibal)
[verse 1]
mjini hakuna cha kuokota
ukikiona usiiname
mjini hakuna cha bure
ukipewa usichukue
ogopa, ogopa matapeli
hili eneo haliuzwi
usikojoe hapa, onyo
faini milioni
[pre+chorus]
ka toto ka 2000
bingwa wa kuamisha
otea ana hamisha nini
ana hamisha vyombo tukimaliza kula
kula ubwabwa
ka toto ka 2000
kalitaka kuuvunja
otea kuuvunja nini
kuuvunja mlango eti anaogopa
anaogopa mende
[chorus]
hii bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama, salama)
oh, bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama, salama)
hii bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama, salama)
oh, bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama, salama)
[drop]
[verse 2]
dar es salaam kila bebe iko single
kama tu una range rover
huku temeke kila mtu mweupe
wote kama wazungu
dar es salaam kila bebe ina shepu
ankali, utavunja shingo
dar es salaam, watoto wote wazuri, ‘take care
oya shikamoo, marahaba
achana nayo hiyo kelele
dar es salaam, heshima pesa
(dar es salaam, heshima pesa)
[hook]
ka toto
ka toto
ka 2000 (kamefanya je?)
bingwa wa kuamisha (mh)
otea ana hamisha nini
ana hamisha vyombo tukimaliza kula
kula ubwabwa
ka toto ka 2000
kalitaka kuuvunja
otea kuuvunja nini
kuuvunja mlango eti anaogopa
anaogopa mеnde
[post+chorus]
hii bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama, salama)
oh, bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama, salama)
hii bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama, salama)
oh, bandari salama, salama, salama
(bandari salama, salama
Random Lyrics
- mussoumano (mussa) - mussa vs. mussamina lyrics
- youth alive nsw - exist lyrics
- avathar - death by the river lyrics
- hayden joseph - personally lyrics
- 今井麻美 (asami imai) - 漆黒のサステイン (jet black sustain) lyrics
- ost+front & chrom - volksmusik (chrom remix) lyrics
- b-ly - número desconocido lyrics
- sberforbenz - мы творим (we create) lyrics
- hakim tidaf - ulim lyrics
- hugo psycho - merantau lyrics