marioo - inatosha lyrics
[verse 1:marioo]
hata kama penzi maji masafi niacheni nanawa
maana yamenifikaaa, yamenifika hapaaa
ingawa ntakondaaa, nimeridhia sawaa
maana kila dakikaaa, huwa kilioniiiii
kukikucha macho juu, nakesha kulilia penzi eeeh
kama kinda alokosa mama eeh, mamayee
afu shida sio heshima tuuu, hata wanaomuingia wengi eeh
mwenzenu kupenda nshakata tamaa eeeh, tamaa eeeh
[bridge:marioo]
we iache ikabaki kuwa historiaaa, j-po sio kiroho safi
na ya nini kung’ang’ania biasharaaa, tena yenye hasaraa
na wala sisemi nitakuchukia, j-po moooyoo hautaki
na ya nini kung’ang’ana ng’anang’ana….. iiiiiih
[chorus:marioo]
inatosha….. inatosha
inatosha….. inatosha
[verse 2:marioo]
ni kwamba moyo mashine, nina imani utapoa
hii hali sio ya kudumu, nina imani utapoa
ni kwamba tumeumbwa kusahau, nina imani ntasahau
hii hali sio ya kudumu, ntakusahau
kama kukupinga si ilishindikana, sawa sina chaguo
maana j-po itanisumbua sumbua, itaniumbua umbua
muchanga kwenye kitumbua tumbua, kwenye kitumbua tumbua
[bridge:marioo]
we acha ikabaki kuwa historiaaa, j-po sio kiroho safi
na ya nini kung’ang’ania biasharaaa, tena yenye hasaraa
na wala sisemi nitakuchukia, j-po moooyoo hautaki
na ya nini kung’ang’ana ng’anang’ana…… iiiiih
[chorus:marioo]
inatosha… eeeh acha nipambane na hali yanguu
inatosha… ahaa mapresha kupanda kushuka basiii
inatosha…. mmhh utaniua eheee
inatosha… aah mmmh utaniua mwenzako mie, inatosha
boom boom.. and the good work has been done by the people
Random Lyrics
- joey jester - ghost (interlude) lyrics
- plastic alexx - coffin with ice+ lyrics
- kg smokey - manners lyrics
- haley klinkhammer - la la la lyrics
- ávine vinny - tô limpando você da minha vida (remix) lyrics
- griffin makwiramiti - #timewise lyrics
- ling tosite sigure - high energy vacuum lyrics
- lary over - amores lyrics
- nino lepe - like you lyrics
- amazarashi - ポエジー (poesy) lyrics