marioo - love song lyrics
[intro]
ooooh
ooooh
yeah
mmmmh
mmmmh
mmh (lex vibe)
[verse]
nipende sana mi nataka wale
walo sema kwamba utaniacha wanune
tupendane yani mpaka wale
wanaosubiri tuachane wachunde
acha wakae vikao wamalize waganga
yanawashinda ya kwao waone kama waganga
hao hao
hatuli hatulali kwao unawa ponza uganga
huoni hata sura zao mbaya
[pre+chorus]
wana nitaka mi siwataki nakutaka wewe tu
wakinifata nakimbia nakufata wewe tu
asa ukitaka mi nilie amua wewe tu
ama nitoke hadharani niseme
[chorus]
i love you
i love you
i love you
i love you
oooh
mmmh yeah ooh
[verse]
aiiiii
i loove yoouu
ouoooh
oouoh
ndagukunda
je t’aime
te amor
te quiero
jeg elsker deg
honey, ich liеbe dich nakupenda
kila siku nikikuona nakuona mpya
kila siku nikikuona nakuona we mzuri wеwe
kila mara yako wewe naona tamu tamu
hapa bado namuomba mungu wa mwisho uwe ni wewe
[pre+chorus]
wanao nitaka mi siwataki nakutaka wewe tu
wakinifata nakimbia mbio nakusaka wewe tu
hata ukitaka mi nilie utaamua wewe tu
hata ukitaka nitoke hadharani nitangaze yakwamba
[chorus]
i love you
ooh
i love you uuh i love you
i love you
i love you bora niseme you know i love you
i love you
oooh! yeah
ooooooh
i love you
ooooh ooh
mmmh yeah
[outro]
the mix k!ller
Random Lyrics
- larissa manoela - de castigo lyrics
- lazyigorёk - ё (yo) lyrics
- scream - bored to life lyrics
- keepmysecrets - worthless lyrics
- eisenherz - vampir lyrics
- jay hound - wreck lyrics
- limoblaze - over lyrics
- efcrily - 2д (2d) lyrics
- яница (yanitsa) - въртележката (vartelezhkata) lyrics
- boy in static - epilogue lyrics