marioo - mwagia ndani lyrics
Loading...
mmmh bad ayeeee
shiiiiiiii
aah ah sheimbembe
tumebarikiwaa tumejipata
tumetoboa bila kodi tumejipata
tumefanikiwa tumejipata
tumeridhika na amaisha tumejipata
sisi hapa watoto wa baba hatunaga mbambamba
sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga kanganga
sisi hapa watoto wa baba ahatuna mbambamba
sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga ndandanda
tuna muogopa mungu pekee
tuna muogopa mungu pekee
tuna muogopa mungu pekee
sio wew sio yule sio kifo
sio njaaa wala majuk+mu
ndomana
tunamwagia ndani, mmmh
mwagia ndanni, mmmh
tunamwagia ndani, mmmh
mwagia ndani, mmmh
tunamwagia ndani, mmmmh
mwagia ndani
Random Lyrics
- mulekada - pot-pourri: cerol na mão / tapinha / dança da motinha lyrics
- grimeyron - move how i want lyrics
- skelly (ilpiratabiondo) - calla lyrics
- the night gardener - sticks and stones lyrics
- daniel freshboi - in love lyrics
- live 208 - 27 lyrics
- j-stuy - peace lyrics
- živkica miletić - šumadija šumi, šumi lyrics
- kaz bałagane - 35℃ lyrics
- lvv baby - scooter dead race lyrics