marioo - pini lyrics
[intro]
kutoka, haloo
(it’s cannibal)
[pre+chorus: marioo]
siri sio siri tena
nimefanikiwa
kutoboa moyo wake na pini
toh+toh…, ‘toh
moyo wake na pini
toh+toh…, ‘toh
[verse 1: marioo]
mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye ma taa
inawezekanaje uniache, halafu nikuombee mema (ooh)
kila unachokiona, ndio “kua, uyaone” sio hayo ma taa
inawezekanaje uniache, halafu nikuombee mema (ooh)
ubaya ubwela’ mi shabiki wa simba
ukichapa la kushoto, na chapa la kulia, simuachii mungu
usilete usela kwa msela, mi sijawahi kushindwa
ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa mungu
[hook 1: marioo]
nacheka meno 32 yote nje
(ha+ha+ha)
najifungiaga chumbani nazomea
(oh, oh)
nacheka meno 32 yote nje
(ha+ha+ha)
nimepata habari ex w+ngu anaumia, ah
[chorus]
siri sio siri tena
nimefanikiwa
kutoboa moyo wake na pini
toh+toh…, ‘toh
moyo wake na pini
toh+toh…, ‘toh
[bridge: aslay]
ai, mama weh
mh
woah, woah, woah
naona furaha
ni+, ni+
[verse 2: aslay]
nilinung’unika
nilitokwa machozi yasiyo futika
nilisulubika, nikapata stress za kutaka kufa
si ulinidharau, ooh+ooh
ulivyo pata wadau
walivyo panda dau
ukanitupa, ukaniona nyang’au
sa hivi nimejipata
umechacha, umechuna, unikome
si ulikuwa kama googlе
unajuwa kila kitu, ushajuwa haujuwi
mwenzako nishajipata
napewa mapasi ya pacome
si ulikuwa kama googlе
unajuwa kila kitu, ushajuwa haujuwi (eh+eh)
[hook 2: aslay]
nacheka meno 32 yote nje
(ha+ha+ha)
najifungiaga chumbani nazomea
(oh, oh)
nacheka meno 32 yote nje
(ha+ha+ha)
nimepata habari ex w+ngu anaumia, lo+lo lo+lo, lo+lo
[post+chorus: marioo & aslay, both]
siri sio siri tena
siri sio siri tena
nimefanikiwa
nimefanikiwa mimi
kutoboa moyo wake na pini
toh+toh…, ‘toh
moyo wake na pini
le, lele, lele
toh+toh…, ‘toh
ai, mama weh
naona furaha
nasikia raha
toh…,toh
ai yeah
toh toh riro+toh!
moyo, moyo wake na pini
shauri yake
kutoka
Random Lyrics
- theregomarcus - vlone lyrics
- deo - shake it lyrics
- jvf (mlt) - festa (no time for siesta) lyrics
- 5ever (ma) - ttyl! lyrics
- bernarda (esp) - antoniet lyrics
- oct! - half horse half man lyrics
- sick individuals - how it goes lyrics
- oscar corney - open road lyrics
- go golden junk, rixxia & rivvaa - pumpiri lyrics
- orrionn - immune lyrics