marioo - subira lyrics
subira, ah, tuwe na subira
tujifunje kusubiri, tuwe na imani
subira, ah, tuwe na subira
tujifunje kusubiri, tuwe na imani, mm
anayetoa ndo’ anayetoa kwa wote
hatuko wengi nasihi, ridhiki zetu sote
mm+hmm, usinung’unike nafsini
utakufuru, yamkini
uwenda ndio siku yako
(kesho+kesho, kesho) usifadhaike na hali
(kesho+kesho, kesho) omba dua fanya sala
(kesho+kesho, kesho) iye+iye
kila mwenye kuomba hufunguliwa
hamtupagi mja wake
sio mwenye kugomba, kusujudiwa
wajibu wake yeye
lakini pia ye’ habagui
mweupe au mweusi, hachagui
kipofu au kiziwi hujitambui
fungu lako lipo
mm+hmm, usinung’unike nafsini
utakufuru, yamkini
uwenda ndio siku yako
(kesho+kesho, kesho) usifadhaike na hali
(kesho+kesho, kesho) omba dua fanya sala
(kesho+kesho, kesho) iye+iye
uwenda ndio siku yako
(kesho+kesho, kesho) usifadhaike na hali
(kesho+kesho, kesho) omba dua fanya sala
(kesho+kesho, kesho) iye+iye
Random Lyrics
- zorana mrđa - atlantida x koraci x devet života x kalaši (medley) lyrics
- jeebanoff (지바노프) - 삼선동 사거리 (sungbook-gu kids) lyrics
- farzad ghadimi - doroste lyrics
- wenge musica - mulolo lyrics
- reeferstar, juxhn, donald j trump - the 47 lyrics
- sarpdansh - mushq lyrics
- meli k (rus) - erida lyrics
- exe rta - no voy lyrics
- celam - spleen lyrics
- ynkeumalice - xoxo, l u v lyrics