marlaw - mbayu wayu lyrics
[intro: marlaw & lamar]
nakupenda wewe
and i love you, baby
usimsikize huyo
exclusive
nimekaa na mrembo
marlaw
nimekaa na mrembo
tudd thomas
nimekaa na mrembo
fishcrab presentation
nimekaa…
ah!
[verse 1]
nimekaa na mrembo
nampanga vile nitamuoa
kwani nimempenda siku nyingi
ila nikashindwa k+mwambia
ungeniuliza bwana, kwani mimi nimeongea nini
ungeongeza umakini, huyu mtoto asingenikimbia
nna imani kama angenipenda
kaniruhusu niende nijieleze
nimtume ujumbe mbayuwayu
mbayuwayu, ngo, ngo, ngo
mbayuwayu mimi nina kutuma
ukifika usiwe kama huyu
ubishe hodi, mbayuwayu
hodi, ngo, ngo, ngo, ngo, hey, yeah
[pre+chorus]
jirani au mgeni
au sivyo ndivyo, kw+ngu’
naomba bisha hodi
(ngo, ngo, ngo)
mvamizi au mwizi
au sivyo ndivyo, kw+ngu’
naomba bisha hodi
(ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
piga hodi, yeah
[hook]
weh
unaongea sana (ah)
hujauliza kwanza (eh)
umevamia (ah)
[verse 2]
niliongea na mrembo (mrembo)
mrembo kakubalia
nikajiona cha zaidi, ‘mi sina (sina)
sina cha kuzugia
imeniumiza sana, ‘kwani wewe umeongea nini
kwa jinsi ninavyo kuamini, sikuwaza ungeniharibia
[hook]
nna imani kama angenipenda
kaniruhusu niende nijieleze
nimtume ujumbe mbayuwayu
mbayuwayu, ngo, ngo, ngo
mbayuwayu mimi nina kutuma
ukifika usiwe kama huyu
ubishe hodi, mbayuwayu
hodi, ngo, ngo, ngo, ngo, hey, yeah
[chorus]
jirani au mgeni
au sivyo ndivyo, kw+ngu’
naomba bisha hodi
(ngo, ngo, ngo)
mvamizi au mwizi
au sivyo ndivyo, kw+ngu’
naomba bisha hodi
(ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
piga hodi…
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, yeah, yeah, yeah (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi…, yay, ay
[hook]
hey
mbayuwayu uende (ah)
ukamuite baby (eh)
nenda’ hodi ubishe (ah)
[hook]
sema hodi, sema hodi
ukisikia, “karibu”
ingia
sema hodi, sema hodi
ukisikia, “karibu”
ingia, ah
[post+chorus]
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(nenda wewe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(afadhali wewe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(huyu bure)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(hodi ubishe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(nenda mwambie)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(nampenda yeye)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(yeye pekee)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
hey
ooh…
[pre+chorus]
jirani au mgeni
au sivyo ndivyo, kw+ngu’
naomba bisha hodi
(ngo, ngo, ngo)
mvamizi au mwizi
au sivyo ndivyo, kw+ngu’
naomba bisha hodi
(ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, yeah
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi, yeah, yeah, yeah (ngo, ngo, ngo)
hodi, (ngo, ngo, ngo)
hodi…, yay, ay
[hook]
sema hodi, sema hodi
ukisikia, “karibu”
ingia
sema hodi, sema hodi
ukisikia, “karibu”
ingia, ah
[outro]
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(nenda wewe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(afadhali wewe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(huyu bure)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(mwambie aelewe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(baby, baby)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(nakupenda wewe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(baby, nielewe)
mbayuwayu, paa, paa, paa, paa
(nakupenda sana)
Random Lyrics
- inrchild - the horizon lyrics
- tokyo p - commitment lyrics
- youngestalan - zły mood lyrics
- drogas - 蝴蝶 (butterfly) lyrics
- hayley payne - broadway sweethearts lyrics
- swozzy boy & джон гарик (jg) - понятия (thug life) lyrics
- james fauntleroy - same sunset lyrics
- kaede (jpn) - あたらしい歌 (a new song) lyrics
- taiga (band) - за чертой (beyond the line) lyrics
- lostondos - pivapic zenbic lyrics