marlaw - pii pii lyrics
[intro]
ahaa, hey hey
ahaa, hey hey
[verse 1]
ninataka niwahi kufika
njia ina jam sasa wapi ntapita
nimekaa karibia saa sita
sasa kukaa nimechoka, oh baby
sijamuona long time na
ndo narudi toka mwezi jana
nimeshamwambia mama
nimefika tangu mchana
anajua nmeshafika, ameshapika, amekasirika
alipika tangu mchana
ila sasa lunch imegeuka dinner
[chorus]
nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
pii pii; move out the way
nimechoka kupoteza time
nina siku nyingi kwenda home
i am missing ma baby
pii pii; hallo baby
natamani niwe nyumbani
nimekwama hapa njiani
kuna jam baby
ahaa, kuna jam baby
ahaa, hallo
ahaa, hallo
ahaa, hallo
[verse 2]
unanikatia simu unanionea
we ungekuwepo ungejionea
unafanya hivo, unakosea mama
unanikatia simu unanionea
we ungekuwepo ungеjionea
unafanya hivo, unakosea mama
nakuomba mpenzi ungojee
ni njiani, naja, niombee
nimеchoka na kuja too late
huruma nionee
nakuomba mpenzi ungojee
ni njiani, naja, niombee
nimechoka na kuja too late
huruma nionee
[hook]
nimechoka kungoja highway
nitapita kokote mradi we
ili kama ni kesi na iwe…
(hatuelewani)
nimechoka kungoja highway
nitapita kokote mradi we
ili kama ni kesi na iwe…
(hatuelewani)
[chorus]
nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
pii pii; move out the way
nimechoka kupoteza time
nina siku nyingi kwenda home
i am missing ma baby
pii pii; hallo baby
natamani niwe nyumbani, (eh, eh)
nimekwama hapa njiani
kuna jam baby
ahaa, i love you so much
ahaa, i love you mama
ahaa, i love you mama
[hook]
nimechoka kungoja highway
nitapita kokote mradi we
ili kama ni kesi na iwe…
(hatuelewani)
nimechoka kungoja highway
nitapita kokote mradi we
ili kama ni kesi na iwe…
pii pii; move out the way
nimechoka kupoteza time
nina siku nyingi kwenda home
i am missing ma baby
pii pii; hallo baby
natamani niwe nyumbani
nimekwama hapa njiani
kuna jam baby
pii pii; move out the way
nimechoka kupoteza time
nina siku nyingi kwenda home
i am missing ma baby
pii pii; hallo baby
natamani niwe nyumbani
nimekwama hapa njiani
kuna jam baby
i love you so much
i love you mama
i love you mama
i love you mama
i love you so much
ma baby
ma baby
ma baby
ma baby
ma baby
ma baby
ahaa, i love you so much
ahaa, i love you mama
ahaa, i love you mama
ahaa, i love you mama
ahaa, i love you so much
ma baby
ma baby
ma baby
ma baby
ma baby
ma baby
Random Lyrics
- styku - trip lyrics
- володимир цибровський - дайте чаю lyrics
- algo desconhecido - preço lyrics
- blindfolded and led to the woods - hands of contrition lyrics
- ghostlyphone - sause lyrics
- whitekidd,fashionphob - серафим (seraphim) lyrics
- g.w.m - még mindig élek lyrics
- eleni peta - ισόγειο (isogeio) lyrics
- cochise - hydroplane lyrics
- duvi - go away lyrics