azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

masterland - ndagufuhira lyrics

Loading...

ndagufuhira lyrics

kuna wengine
hawataki kuona furaha yako
na saa zingine
wanataka kuona kilio cako
wanatamani kipenzi uanguke
wacheke
la moyoni penzi langu mi na we
livunjikee

pre chorus

so would you let me kiss you
let me kiss you so tender
would let me tickle you so that you laugh and laugh

chorus

kama aungekua w+ngu
kama usingekua w+ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira

verse 2
umeniponya machozi ya moyo
kwako nilisha tuliya
upweke uzuni moyoni
vilio vyote umenivutiya
sina wasi wasi ndani ya nafsi kwa sababu niko nawe
wala mitikasi
majonzi basi
baby furaha yangu ni wewe

pre chorus

so would let me kiss you
let me kiss you so tender
like i give you bath
would you let me tickle you so that, you laugh and laugh

chorus

kama aungekua w+ngu
kama usingekua w+ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira

bridge

wanasema saana
usijali ama na izo lawama
mi nakupenda saana
mi nawe tutafana daima
wanasema saana
usijali ama na izo lawama
nakupenda saana
hook

oooooh oooohhhh,….

chorus

kama aungekua w+ngu
kama usingekua w+ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...