azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

matonya - iyo iyo lyrics

Loading...

mbele ukitingisha ndo napata taabu
maneno namung’unya kama vile bubu
changa runyamira vile unavyoniadhibu
mguu kwenye boost unanipa taabu, uuh
mikato mikato toto changa ricaldo, ricaldo
sauti kwaya chilambo, chilambo
kwenye bad movie ya rambo, ya rambo
kuja nikufunze mi minong’ono
vile nanong’ona kifuani
nikutupe tupe ulale ka pono
room ujikute huko kunani

kuja nikufunze mi minong’ono
vile nanong’ona kifuani
nikutupe tupe ulale ka pono
room ujikute huko kunani
ndo iyo iyo iyo iyooo, aah
ndo iyo iyo iyo iyooo
ndo iyo iyo iyo iyooo
ndo iyo iyo iyo iyooo
ka perfomer kiungo machachari
ya kitaa goma, kitaa noma
far show ma
na hamza kuzishusha mamaooo
mr bombastic oooh
na nina bomba stick
sina mechi za kirafiki
weka mziki niweke mziki ooh
jiki jiki
beiby i’m not the one you got
nikilala mi mdeadly wouwo
haukimiliki mpenzi
michabo haishiki penzi
na nimechange namba, so
kuja nikufunze minong’ono no
vile nanong’ona we ikamie
nikutupe tupe ulale ka pono
room ujikute uko nami
ndo iyo iyo iyo iyooo
kuja nikufunze minong’ono
ndo iyo iyo iyo iyooo
vile nakoroma we utaumia
ndo iyo iyo iyo iyooo
nikutupe tupe ulale ka pono
ndo iyo iyo iyo iyooo
room ujikute uko na nani
watch video



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...