matonya - taxi bubu lyrics
[pre+chorus: matonya]
k+mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
[verse: 1 + fid q]
k+mbe ni taxi bubu, niliemuhusudu
akaniganda mithiri ya mdudu kupe
mchana za njano, usiku ana nyeupe
yaliyomo hayamo, lakini mi nimeona it’s not fair
[verse: 2 + matonya]
kweli usilolijua usiku wa giza
kipenzi cha moyo leo hii kinaniliza mimi
hisia nilimpa yeye sababu ya k+muamini
ni chunusi si baharini, hata nchi kavu pia jamani wanathamani
mwenzenu nkasema labda nionapo picha ya kimwali mi ni hoi
k+mbe sivyo bwana, vile nilivyodhani awe w+ngu wa milele
hivi ndivyo alivyo kupenda anataka, kupendwa anaogopa
sababu ana mengi maovu asije umbuka
[chorus: matonya]
k+mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k+mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
[verse: 3 + matonya]
ni bora ningejua mapema kama maisha yako wewe ni ya viwanjani
sio ufala, ulinizuga sana kwamba wewe huna hizo ni wa getini
mchana unakuja home mitandio kichwani
usiku ndo sikuoni
k+mbe mwenzangu mimi kiwanja kinondoni kwa macheni hamjui nani!
usiwaone tu machoni, pia kuna wengine mazugoni maofisini
k+mbe nao hao (kuwa nao)
k+mbe nao hao (cheka nao)
k+mbe nao hao
[chorus: matonya]
k+mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k+mbe taxi bubu mchana namba za nyano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
[verse: 4 + matonya]
muamini akuamini, umvike madini
mkale kiapo mpaka mwaf+kiwa aridhini
sio kichochoroni, kavu kavu mdomoni
kakudanganya kuwa anaishi getini
hupatikana hata mitaani ukimwi
usimuamini kwa k+muona kwa macho
[chorus: matonya]
k+mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
k+mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
Random Lyrics
- nappy dolly - why you do me like that? lyrics
- la'white - vida'vent lyrics
- lelo - hundred thousand ones lyrics
- jogames - trigo integral lyrics
- loge (logedelrey) - la polvere lyrics
- daysuke - velhos tempos lyrics
- tombstone towers - mercy on my soul lyrics
- the strangers (2222) - welcome the stranger lyrics
- мотив грусти(motiv grusti) - июль(july) lyrics
- рэйди (ray-d) - чит-код (cheat code) lyrics