matumbo - kaskazini lyrics
ooh ooh ooh
nanana nanana
[verse 1]
pale tulitulia
jicho tukakufinyia
wewe na maringo
ukapita na mastingo, why
ugali matumbo si we ndio uliorder
si tulidhani we msichana wa soda
oh my
i can’t deny
ulituringia hapa bado uko fly
sema oh my
ulituringia hapa bado uko fly
nasema bado uko fly
[chorus]
msichana ngoja
usituringie maumbo
ngoja ngoja huumiza matumbo
msichana ngoja
usituringie maumbo
ngoja ngoja huumiza matumbo
tumengoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tukachoka
[verse 2]
hizi siku najipodoa
nywele nayo abuja
motokaa nazo ni za ndoa
ndizo zakuangusha
mpanda ngazi hushuka
tandika yako mkeka
mpanda ngazi hushuka
tandika yako mkeka
[chorus]
msichana ngoja
usituringie maumbo
ngoja ngoja huumiza matumbo
msichana ngoja
usituringie maumbo
ngoja ngoja huumiza matumbo
tumengoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tukachoka
[verse 3]
sikuwahi dhani kuwa wewе
utaanza, hii tabia
sketi nayo fupi, ya kachupi
ndio wanaume wote, hukaribia
msichana wa kanisa, wakosa misa
miеzi kama tisa, wataka tu pesa
na ujulikane
bado unatesa
skamarex tukiringa
bado unatesa
skamarex tukiringa
bado unatesa
[chorus]
msichana ngoja
usituringie maumbo
ngoja ngoja huumiza matumbo
msichana ngoja
usituringie maumbo
ngoja ngoja huumiza matumbo
tumengoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tumengoja
ngoja ubadilike
tumengoja tukachoka
Random Lyrics
- crash yeye - últimamente lyrics
- jestemszopen & młodzian - mystery box lyrics
- jona alk - hola, soy jonathan.y está la letra en la descripción lyrics
- kenzo (rap) - the pipe lyrics
- hudson alexander - 2016 lyrics
- baby bash - solid lyrics
- life is a myth - groove is king lyrics
- marcia belsky - cops on horses lyrics
- florence pugh - i hate myself lyrics
- noturavrg joe - story mode lyrics