maua sama - baba jeni lyrics
[verse 1]
hivi we hufikiri hufikiri
kuwa nawe siwezi
kweli siwezi
kukupa moyo
eti tuwe wawili wawili
hizo share siwezi
kwenye mapenzi utaniumiza moyo
kwanza unanionaje
pisi kali yakwenda
tena nina jina mimi
nakuhifadhi unavimba, unavimba
[pre chorus]
tena we na mashemeji
akili kisoda aah kisoda
niwe nawe wa nini
hunifikishi kigoma
[chorus]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
[verse 2]
kwako nilijikwaa
kimapenzi nilikusitiri tu mwenzangu
basi show ata ungeweza
ila nilituliza tu kamoyo kangu
kebehi na gubu
sina raha roho juu juu
baba utaniua kibudu
bora nidisappear
ey umesema ndo nanona
aloniteka amesoma
master ya mapenzi
sio diploma ananipa mie
[pre chorus]
tena we na mashemeji
akili kisoda aah kisoda
niwe nawe wa nini
hunifikishi kigoma
[chorus]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
bye bye, bye bye
bye bye, bye bye
Random Lyrics
- big hit, ty dolla $ign & hit-boy - slow your roll lyrics
- littlegayboy - faker lyrics
- petre ștefan - sunt frații tăi lyrics
- hardy - kill sh!t till i die (live from red rocks) lyrics
- harpyie - zombiemann lyrics
- paul kim (폴킴) - 편지 (letter) (yours) lyrics
- albns - inteiro (1° versão) lyrics
- oblivion dust - satellite lyrics
- rb battles - i fear i ate (i'll dress to impress) lyrics
- slawniy - по нотам (by notes) lyrics